Mkaa Mweupe JF-Expert Member Joined Jun 29, 2007 Posts 654 Reaction score 185 Jan 21, 2010 #1 Mambo ya kwetu Attachments Ng'ombe.jpg 28.9 KB · Views: 178 Mbuzi.jpg 34.6 KB · Views: 182 Kitambi.jpg 30.6 KB · Views: 409 Bus.jpg 19.9 KB · Views: 184
saitama_kein JF-Expert Member Joined Oct 29, 2009 Posts 981 Reaction score 100 Jan 21, 2010 #2 Jamani hivi na wanaume wamepitia maduka ya kichina ya kutengeneza viungo vya mwili? (Referred to photo#3)
Jamani hivi na wanaume wamepitia maduka ya kichina ya kutengeneza viungo vya mwili? (Referred to photo#3)
Mkaa Mweupe JF-Expert Member Joined Jun 29, 2007 Posts 654 Reaction score 185 Jan 21, 2010 Thread starter #3 Kazi kweli kweli! Hata mimi nilistaajabu, mtu wa namna hii mbele ya viongozi wa hali ya juu. Kweli wabongo hatuna kazi.
Kazi kweli kweli! Hata mimi nilistaajabu, mtu wa namna hii mbele ya viongozi wa hali ya juu. Kweli wabongo hatuna kazi.
Guyana Halima Member Joined Feb 23, 2009 Posts 78 Reaction score 1 Jan 21, 2010 #4 saitama_kein said: Jamani hivi na wanaume wamepitia maduka ya kichina ya kutengeneza viungo vya mwili? (Referred to photo#3) Click to expand... Wachina hawana wanawake wala wanaume!! We ukitaka hata mifugo yako iwe na shepu kwa wachina haina shida!!!
saitama_kein said: Jamani hivi na wanaume wamepitia maduka ya kichina ya kutengeneza viungo vya mwili? (Referred to photo#3) Click to expand... Wachina hawana wanawake wala wanaume!! We ukitaka hata mifugo yako iwe na shepu kwa wachina haina shida!!!
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,409 Jan 21, 2010 #5 saitama_kein said: jamani hivi na wanaume wamepitia maduka ya kichina ya kutengeneza viungo vya mwili? (referred to photo#3) Click to expand... hahahaha saitama umeiniacha hoi na swali lako linachekesha
saitama_kein said: jamani hivi na wanaume wamepitia maduka ya kichina ya kutengeneza viungo vya mwili? (referred to photo#3) Click to expand... hahahaha saitama umeiniacha hoi na swali lako linachekesha
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,499 Jan 21, 2010 #6 Hehehehe Kama marehemu Pepe Kalle namzia kweli kile kibao cha Dar Young Africa
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,409 Jan 21, 2010 #7 Jamani huyo ni mtu wa ukweli lakini?
B Bontowar JF-Expert Member Joined Feb 21, 2009 Posts 520 Reaction score 53 Jan 22, 2010 #8 FirstLady1 said: Jamani huyo ni mtu wa ukweli lakini? Click to expand... ndio lakini atakuwa na matende
FirstLady1 said: Jamani huyo ni mtu wa ukweli lakini? Click to expand... ndio lakini atakuwa na matende