Usiniulize ... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usiniulize ...

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mkaa Mweupe, Jan 21, 2010.

 1. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mambo ya kwetu
   

  Attached Files:

 2. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Jamani hivi na wanaume wamepitia maduka ya kichina ya kutengeneza viungo vya mwili? (Referred to photo#3)
   
 3. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kazi kweli kweli! Hata mimi nilistaajabu, mtu wa namna hii mbele ya viongozi wa hali ya juu. Kweli wabongo hatuna kazi.
   
 4. Guyana Halima

  Guyana Halima Member

  #4
  Jan 21, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wachina hawana wanawake wala wanaume!! We ukitaka hata mifugo yako iwe na shepu kwa wachina haina shida!!!
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahahaha saitama umeiniacha hoi na swali lako linachekesha
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Hehehehe Kama marehemu Pepe Kalle namzia kweli kile kibao cha Dar Young Africa
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Jamani huyo ni mtu wa ukweli lakini?
   
 8. B

  Bontowar JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2010
  Joined: Feb 21, 2009
  Messages: 524
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  ndio lakini atakuwa na matende
   
Loading...