Usinishike Afande, usinishike!

Yule alinikumbusha kwenye ile documentary ya chadema kuhusu uchaguzi wa meya wa jiji la arusha
lema alimwambia askari hivyo tena yeye alimtaja na jina na kumwambia....huruhusiwi kufanya hivyo,huruhusiwi kunishika
watu wasiloelewa ni kuwa jwtz wao wanapiga doria tu hawawezi kuingia pale maana wale wakiingia ni balaa wangechinja chinja kama alshabab wao wanapita tu ku kuwatia mkwara waandamanaji
 

Lakini ikumbukwe mkuu wa kaya alikuwa anashuka uwanja wa ndege wakati ghasia zinaendelea. JWTZ kujitokeza ilikuwa kusafisha njia mkuu wa kaya apite salama.
 
Kisheria mhalifu kama hakupi wakati mgumu na anafuata unachomwambia huna sababu ya kutumia nguvu, si vema kumuogopa mwanadamu kama alivyosema lakini ni vema zaidi kutii mamlaka iliyo kuu, ambayo imewekwa na Mungu mwenyewe sasa mie nilikuwa simweliwi ikulu anakwendaje bila mwaliko ashukuru ni hapa duniani sasa Mbinguni atafanyaje? Huko kama jina halipo hakuna mjadala ni kwenye ziwa la moto...na bila kusafishwa kwa damu ya Yesu hakuna atakayeingia humo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…