Usiniogope, mimi ni mfanyabiashara mkubwa

Kila siku najiuliza kwanini biashara hizi zinaruhusiwa kutembezwa mitaani kama wanauza karanga?? Ni hatari ujue
 
Waanze kuwapatia leseni na wafanyao biashara Kama hiyo wasipewe leseni mpaka wapimwe kwanza akili!
 
hilo panga kulishika hivo ndo nini ana hatarisha usalama wake na wa raia wengine!!!

Unawasiwasi na panga? Mtu mwenyewe anaonekana katumia Bidhaa za Columbia. Huyo anatakiwa awe admitted Mirembe kabla hajadhuru watu!
 
Waanze kuwapatia leseni na wafanyao biashara Kama hiyo wasipewe leseni mpaka wapimwe kwanza akili!
mi huwa nikienda buchani huwa najiuliza hivi huyu jamaa na makisu yake akifetuka ghafula hapa si ndo mwanzo wa kutundikana kama ng'ombe! sina imanio nao kabisa mimi! hata wao nadhani wapimwe akili first!
 
panga,visu,jambia ni vitu ninavyoviogopa saaana..hata kwenye picha tu
 
Ukimuudhi huyo hiyo biashara yake itageuka silaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…