Usinikubali haraka

Vaislay

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
4,532
Reaction score
1,841
Habari za Mida hii Wapendwa ....

Mi kuna kitu kinanichanganya,,,nahitaji mawazo zaidi...
Ila mi hata ukinijibu hovyo unakuwa umejipotezea muda wako bure.

Swala la kwanza...
Ni kwenye utongozanaji in any way,maana zamani kulikuwa na kuimbishana sikuhizi kuna njia nyingi sana mpaka watu kuwa wapenzi,
kwamba mwanamke hutakiwi kumkubali haraka kidume anapokuwa anamwaga sera zake, hata kama unampenda pia, lakini watu wengine wanaseme hiyo ilikuwa zamani sikuhizi jamaa akisema i lov u nawe hapohapo unajibu mambo yanaendelea.
Kinacho nikoroga hao hao wanaume wanasema mwanamke ukikubali haraka we ni cheche moto mtungi.....

Swala la pili...
Ukimpenda wanaume kama ni mtoto wa kike unatakiwa ugugumie nalo ila ujitahidi kuweka ubunifu wa kumnasa jamaa..kama ubunifu zero?
hapo hapo mwanamke huyo anaonekana cheche,hajiheshimu...

Sasa jamani tufanyeje mi sielewi...maana kama mioyo wanawake pia wana mioyo, tena unayopenda kwelikweli ........
 
ntarudi jamani... niko chumba namba 202!
 
hahahha... inaweza ikawa hivyo au uhitaji wa kufaham zaid kutokana na haya yazungukayo dunia hii

Nina mashaka kuna jamaa anafanya moyo wako uende mbio....i wish i was him.
 
nikubali basi fasta fasta mama nanii!afu ujue mi nakuonaga unavyo pitaga ni kifuu kile! hmm! naumiaga!
hahahahhaha jamaniii mpaka naogopa kukubali haraka, nipe miezi mi3 nifikirie
 
Wavulana wanapenda kugegeda sanaaaaa....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…