Usinikubali haraka mdada,,

shalolizo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2013
Posts
336
Reaction score
204
mwenzenu nimetokea kutamania sana kumpata msichana ambaye hatanikubali haraka pindi nikimtongoza,,lakini imekuwa tofauti sana na wadada ninao kutana nao,,sijui ni kwanini yani wengine unaweza ukawa unasema labda huyu dada atanizungusha hata wiki mbili hivi ndo anivulie pichu lakini wapi,,hii ni kwa sababu gani jamani?usinikubali haraka wewe mdada bhana,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…