Sura-ya-Kwanza JF-Expert Member Joined Nov 17, 2007 Posts 568 Reaction score 12 Sep 21, 2008 #1 Kwa kweli sasa Siasa zinapamba moto... Wakati 2010 haiko mbali, wana itikadi wadai- Wanawake, Vijana na Wazazi wa CCM ni Wachafu mno...😱 Wanalumbana kusivyo. Hivyo, marufuku kumchafua Kijana, Mwanamke au Mzazi wa mwana CCM! Kwa habari Zaidi Bofya hapa... Nafikiri Siasa itakuwa haina moto kama sitaweza kuwachafua wenzangu--Hautakuwa mchezo mzuri kuwa sopu sopu saa zote. Au vipi Wasafi Wenzangu?
Kwa kweli sasa Siasa zinapamba moto... Wakati 2010 haiko mbali, wana itikadi wadai- Wanawake, Vijana na Wazazi wa CCM ni Wachafu mno...😱 Wanalumbana kusivyo. Hivyo, marufuku kumchafua Kijana, Mwanamke au Mzazi wa mwana CCM! Kwa habari Zaidi Bofya hapa... Nafikiri Siasa itakuwa haina moto kama sitaweza kuwachafua wenzangu--Hautakuwa mchezo mzuri kuwa sopu sopu saa zote. Au vipi Wasafi Wenzangu?