Usingizi ndani ya gari au basi

Mtakayote

Member
Apr 1, 2016
62
16
Habari wanajf

Nina tatizo la kulala kwenye gari hata kama ni mwendo wa kilomita mbili. Sasa sijajua ni tatizo la kiafya au la. Na kulala huwa nalala masaa nane kwa siku.

Naomba mnisaidie
 
Habari wanajf

Nina tatizo la kulala kwenye gari hata kama ni mwendo wa kilomita mbili. Sasa sijajua ni tatizo la kiafya au la. Na kulala huwa nalala masaa nane kwa siku.

Naomba mnisaidie
Ni kipaji ambacho wengine hawana! Yani akili yako iko vizuri haiendekezi stress ila kama ni self driving hilo ni tatizo
 
1cfeb0933318224c7d5ca82379c4d4a3.jpg



Mwenzio huyo
 
Hilo ni tatizo bro...nakushauri kama hufanyi mazoezi anza kufanya mazoezi ambayo yata boost rate ya upumuaji wako...then control vyakula unavyokula hasa mafuta na sukari...kunywa maji ya kutosha at least 3litres kila siku Fanya hivyo kwa miezi miwili utaona tofauti kubwa mzee
 
Tatizo hata ID yako nayo ni tatizo. "Mtakayote" hivyo unataka kila kitu, usiku unalala ila ukipanda basi napo unataka ulale. Nakushauri uchague ID nyingine kisha ulete ushuhuda
 
Kama umetokea Dodoma kuna mnyama anaitwa fungo Kama unamjua VIP uliwahi kula nyama yake?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom