sisimizi babalao
Member
- Nov 19, 2012
- 14
- 3
Hichi ndio kinacho nifanya nijivunie kuwa mtanzania kwa ukarimu mlio nionesha na msaada wenu dhahili shahili kuwa ninyi ni watanzania harisi nashkuru sana nashkuru ndugu zangu kwa muongozo wenu ngoja niyafanyie kazi mawazo yenu na ushauli.
Mrejesho vipi kiongozi??!Habari zenu waheshimiwa,poleni sana na majukumu kidunia na kitaifa ndugu zangu mimi ni mjasiriamali mdogo hapa tanzania niko katika harakati za kujikwamua katika maisha hivyo nimeanzisha kamladi kangu kakutengeneza mvinyo wa zabibu au (RED WINE) hivyo naombeni msaada wa kimawazo na maelekezo jinsi gani ntapata vifaa vya kuwekea yani Chupa yani (empty bottle) pamoja na vifaa vyaku bania chupa sehemu ya mfuniko(vifuniko vya WINE) hivi vitu ningependa mtu anisaidie kwa hapa tanzania vinapatikana wapi pia kwa bei gani naweza kuvipata?naombeni msaada kwa hilo wana JF wenzangu ntashkuru sana.
Habari zenu waheshimiwa, poleni sana na majukumu kidunia na kitaifa ndugu zangu mimi ni mjasiriamali mdogo hapa tanzania niko katika harakati za kujikwamua katika maisha hivyo nimeanzisha kamladi kangu kakutengeneza mvinyo wa zabibu au (RED WINE)
Hivyo naombeni msaada wa kimawazo na maelekezo jinsi gani ntapata vifaa vya kuwekea yani Chupa yani (empty bottle) pamoja na vifaa vyaku bania chupa sehemu ya mfuniko(vifuniko vya WINE) hivi vitu ningependa mtu anisaidie kwa hapa tanzania vinapatikana wapi pia kwa bei gani naweza kuvipata?naombeni msaada kwa hilo wana JF wenzangu ntashkuru sana.
Last seen Jnauary 2014Ulifanikiwa kiongozi?
Duh kweli kabisaLast seen Jnauary 2014
Ila wine dodoma ni nyingi saana ukija unapata. Kwahiyo kama una mkwamo kwenye kuzalisha nunua kwa watz wenzetu ili kuukuza uchumi wetuKufungua kiwanda bongo bora kuagiza hizo wine southafrica uje huku ulanguze ,unapunguza priduction cost
Inauzwaje Mkuu??.Ila wine dodoma ni nyingi saana ukija unapata. Kwahiyo kama una mkwamo kwenye kuzalisha nunua kwa watz wenzetu ili kuukuza uchumi wetu
Lita moja kati ya 7000-7500. Unapimiwa kiwandaniInauzwaje Mkuu??.
Kwa Sasa sijajua ila lita 5 ilikuwa kati elf 25 - 30 kama upo dodoma nenda soko kuu panda gari za hombolo huko ndo kiwanda Cha wine kipoInauzwaje Mkuu??.
Imepanda kidogoKwa Sasa sijajua ila lita 5 ilikuwa kati elf 25 - 30 kama upo dodoma nenda soko kuu panda gari za hombolo huko ndo kiwanda Cha wine kipo