Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,131
- 14,611
Umenizidi parefu mkuuHuo ndiyo mtindo wangu wa maisha
Sikujui ila kwa your naïveté sina waswasi nimekuzidi mafanikio ktk mahusiano
Nyie ndio wale mnsjiita Fear Women
Mungu akuonee wivu kwa dem aliyemuumba mwenyewe?Yani kumwambia mpenzi wako kuwa “ninachotaka ni wewe tu…sitaki kingine” ndio kuna mfanya Mungu awe na wivu?
Are u insane bwana Kilimbatz??
Nikipata sitakusahau kwa sasa sinaUmenizidi parefu mkuu
Kama tupeane koneksheni,miye ni mwalimu wa kiingereza,kama una chimbo nje ya nchi napoweza ongeza kipato kidogo nishtue
Ipo mifano mingi kwenye biblia inayosupport hoja ya mleta uziMungu akuonee wivu kwa dem aliyemuumba mwenyewe?
Siwezi kuwa chawa wa mtu mie 🤣Msifie tu uwezavyo ila usimwabudu
Huyo ni kimeo,yupo on denial
Si anasema yeye sio mwalimu?Huyo ni kimeo,yupo on denial
Anajichukia Kwa kuwa mwalimu
Kifungu cha maandiko nilichoweka kinaeleza vile Mungu alivyo, hapendi watu waabudu kitu kingine ama binadamu mwenzao.Una ushahidi au ni hisia zako tu ndugu mtumishi?
Dini haiendeshwi kwa hisia weka kifungu hiko ulikoweka hakiendani kabisa na hoja uliyoiibua
Poa mkuuSiwezi kuwa chawa wa mtu mie 🤣
Ni mwalimu,Si anasema yeye sio mwalimu?
Umeleta mzaha wako, Soma vizuri bandikoMungu akuonee wivu kwa dem aliyemuumba mwenyewe?
Ukimsifia sana atajiona spesho na ni irreplaceableMkuu wewe kwanza jina lako tu linatisha.
Manenoa mazuri mwambie mpenzi wako, ukiweza kumwabudu mwabudu tu maana hata mungu amesema tupendane.
Am sane 100%Yani kumwambia mpenzi wako kuwa “ninachotaka ni wewe tu…sitaki kingine” ndio kuna mfanya Mungu awe na wivu?
Are u insane bwana Kilimbatz??
Alaa kwahiyo Mungu amuonee wivu binaadamu aliyemuumba?Kifungu cha maandiko nilichoweka kinaeleza vile Mungu alivyo, hapendi watu waabudu kitu kingine ama binadamu mwenzao.
We tafuta maneno matamu ya kumsufia mpenzi wako Ila usitumie neno kama hili "Hakuna kama wewe
😂😂😂😂😂 dahNi mwalimu,
Wewe kijana nimesoma na nimekwambia kifungu chako ni irrelevantUmeleta mzaha wako, Soma vizuri bandiko
Unataka next time nishindwe mwambia Aaliyyah kwamba she’s one and only kwa kuhofia Mungu ataona wivuUmeleta mzaha wako, Soma vizuri bandiko
Kuliwa sio tatizo, tatizo lipo pale unapomuona mpenzi wako ni kila kitu, pasipo yeye huwezi kuishi hapo ndipo unalikoroga kwa kumwabudu mpenzi wako, ataondolewa hakika.Kama umeoa Na unaishi kwa mentality hii Mkeo ataliwa sana