Naona hadi mwandiko umebadili jamani...Mwenzako hii app hadi nili isahau halaf naona imekuwa ngumu kuitumia ila toja jana nlikuwa bawaza nikucheki.
Nilifikia jukwa la nyumbani kwanza nikajua utakuepo kule
sawa kak tutaachaMwachage tabia ya kuorodhesha madhaifu ya waume/boyfriends zenu kwa mashosti!
Nimesahau ila ni ID ya kiumenani huyo?
[emoji4] [emoji4] [emoji8]Sikukazii aki, nimeona uzi wa watu page ya kwanza kabisaaa kuanza story sio nzuri....
Niliandika nkafuta , nkaandika nkafutaaa!!!
Ulijua kuniumiza saaaanaaa
oooh ngoj nimtafute sawaNimesahau ila ni ID ya kiume
Hahahamueleze bhana nimefurahi kusikia ni jukwaa la home, unajua kule hakuna shida kabisa
no stress wala nini. hata kama kuna ugomvi unaisha in a minute
i like home jukwaa kwa kweli. Sakayo ni member pia ila siku hizi kaadimika kweli
HahahahaWelcome back my kaka, nlikumiss mpaka nikawa nawaparamia watu wenye avatar kama yako!!
Yo welcome[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji4] [emoji4] [emoji8]
Am jus happy
leeeee, usisuse bhana leo basi uje kutusalimu kitaaHahaha
Sijaadimika jamani jf inaniudhi sipati notification nkasusaa
HahahaHahahaha
Ukajua nimekuja na fake id, mi hata nikija kivingine kwa nn usjue bhana.
I can imagen unaparamia id za watu unajua ni mimi
Nitakuja mwayaa!! Na asante piapo
leeeee, usisuse bhana leo basi uje kutusalimu kitaa
asante pia dearNitakuja mwayaa!! Na asante pia
Watoro wa kizazi hiki hawawezi haya. akijitahid saana atakuja kuyaweka hapa jf ili mumpe ushauri, yaan kizazi hiki kisha shindikana
Daaaah
Watu wanasema watoto wa siku hizi hawawezi huu ushauri, huyu Joyce Kiria naye ni siku hizi?cc To Joyce Kiria