hahahahahahha waooo nani alikupa dawa jaman ukapona? nauliza tu rafikiAaahh
Nilikumiss mpaka nkaumwa na nikaponaa
waooo, jana mie nilishaongea nae kule kwetu kuleeeeeeeeeeeeeHahaha
Yaani ni zaidi ya kummiss mamy!!! Nimekosa neno la kumwambia
Hahahahahahahahahha waooo nani alikupa dawa jaman ukapona? nauliza tu rafiki
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Dhambi ileile ya kumuanika mwenzie JF, Ndio ileile itakayomwandama na kumtangaza kwa watu wengine!eti atakuja kuweka hapa Jf
Jf inapunguza umbea wa mtaani ujue na unakuwa salama zaidi
Kumbe toka jana yupo??? Hivi amekuja bila hata kunipooza jamani??!waooo, jana mie nilishaongea nae kule kwetu kuleeeeeeeeeeeee
I missed you mnooo mnool!Aaahh
Nilikumiss mpaka nkaumwa na nikaponaa
hapana aiseeeDhambi ileile ya kumuanika mwenzie JF, Ndio ileile itakayomwandama na kumtangaza kwa watu wengine!
Na meno pia.Kwa hiyo unang'ata watu kila unapojisikia?Mwe mdomo tumepewa bure
Kumbe toka jana yupo??? Hivi amekuja bila hata kunipooza jamani??![/QUO
hahaaaaaaaaa
Sikukazii aki, nimeona uzi wa watu page ya kwanza kabisaaa kuanza story sio nzuri....[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sakayo siyo msweet kabsa hadi imebid nimfundishe tu!
Najua alinimis ila anajifanya anajikaza
Mwenzako hii app hadi nili isahau halaf naona imekuwa ngumu kuitumia ila toka jana nlikuwa nawaza nikucheki.Kumbe toka jana yupo??? Hivi amekuja bila hata kunipooza jamani??!
Welcome back my kaka, nlikumiss mpaka nikawa nawaparamia watu wenye avatar kama yako!!I missed you mnooo mnool!
Am happy to be back
Haaaeti atakuja kuweka hapa Jf
Jf inapunguza umbea wa mtaani ujue na unakuwa salama zaidi
Kuna mtu anatumia Avatar yako hua ananchanganya sanatupo hapa wadad wa uswazi
Mwachage tabia ya kuorodhesha madhaifu ya waume/boyfriends zenu kwa mashosti!tupo hapa wadad wa uswazi
nani huyo?Kuna mtu anatumia Avatar yako hua ananchanganya sana
mueleze bhana nimefurahi kusikia ni jukwaa la home, unajua kule hakuna shida kabisaMwenzako hii app hadi nili isahau halaf naona imekuwa ngumu kuitumia ila toja jana nlikuwa bawaza nikucheki.
Nilifikia jukwa la nyumbani kwanza nikajua utakuepo kule
si wanatumia id fake? hahahaha ila bado kuna kamtihani ujueHaaa
Mambo ni yale yale tuu, yanaanziaga hapa jf halaf yanaingia kitaa.
Nna mashaka sana na wale wanao letaga ishu zao hapa