Usimuonee mtu wala kutesa wengine, duniani hapa tunapita

Usimuonee mtu wala kutesa wengine, duniani hapa tunapita

Kufa ni lazima hata uweje ukiamua kutenda mazuri tenda mazuri
 
Nikiona hizi mada huwa nafikiria sana kuhusu akiba yangu benki. Nataman nikaichukue yote niitumie iishe lakini nawaza tena what if ikiisha na bado sijawa tayari kufa itakuwaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom