Usimchokoze Mrusi

Kama iliwahi kuwa nchi moja na matokeo yake ikayumba na kusambaratishwa, tafsiri yake ni kuwa kumbe ukubwa wake haukuwa na maana wala msaada wowote ule.
Pia kwa wenzetu walio endelea vita ya silaha si kati ya options za awali bali huja kama hatua ya mwisho kabisa pale kila kitu kinaposhindikana.
kwa hiyo wakikuchapa kiuchumi basi jua huwawezi, wakikuchapa kidiplomasia basi nayo kwao ni aina ya vita hiyo.
Russia yeye mkitofautiana tu anawahi bunduku na machuma chuma yake, sasa huvi huvyo vinaitwa vikwazo ni sehemu ya mkakati qenzake wameshamtumbukiza, na wenzake ni wavumilivu wanaendelea kummung'unyua taratibu kama mchwa alavyo gogo. Watamkimbiza huku na huku ili mradi kumchosha tu wakijua pumzi zake ni za mita 100 tu, akija kustuka kasambaratishwa kwa mara ya pili.
Tatizo la Urusi nadhani pamoja na akili na maarifa waliyo jaaliwa bado wao wamechagua akili za Kiafrika ndiyo maana hawaamini katika mfumo bali wana amini katika mtu.
Nje ya Putin hakuna Urusi hii mnayoiona hivi sasa, ni suala la muda tu. Watu hawana sababu ya kutumia nguvu nyingi wakati unaweza ukasubiri miaka 10 ijayo na ukapata matokeo unayoyataka.
 
Team Shithole utawajua tu. Russia wako juu sana ki technolojia mkuu. Hiyo maneno yako ni zilipendwa. North korea wenyewe imewatoa kamasi. Bado kuna mchina. America is going down man
 
Team Shithole utawajua tu. Russia wako juu sana ki technolojia mkuu. Hiyo maneno yako ni zilipendwa. North korea wenyewe imewatoa kamasi. Bado kuna mchina. America is going down man
Wacha wee...
Halafu nina wasiwasi kama umeelewa nilichoandika au umeamua kuelewa utakavyo.
 
Nimeona samaki (papa)ameonekana huko baharini nje kavalishwa kamba shingoni yenye vitu kama kamera inasemekana inatumiwa kama kamera ya ujasusi ya mrusi
 
Hahahah mbona husemi kama alipigwa na finland au japan au afganstani au kuangushwa kwa U.S.S.R pia na mfomo wao wa kikomnisti ulio rudisha nchi nyingi nyuma kimaendeleo really you still call them winner .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…