Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,728
- 46,998
Kuna kitu inaitwa Tomahawks Missile,amuulize Saddam na Gadaf popote walipo.bado hawezi kitu kwa marekani.
bado hawezi kitu kwa marekani.
Hiyo mara nyingi ni stori za vijiweni. Sote tunajua Urusi ni kati ya mataifa yalio imara kivita. Lakini, bado huwezi kukurupuka na kuipamba tu kwa hisia. Haya nayaona kwa mashabiki wengi wasiozingatia hoja makini kuchambua masuala ya kivita.
Sasa hapo umetuma hizo picha za hizo silaha na mbwembwe kibao, je, Marekani hana? Mfaransa hana? Mwingereza hana? Mchina hana? Kama kweli umedhamiria kuonesha umwamba wa nchi fulani, lete vigezo(makombora, ndege, manowari,nyambizi, bunduki, nyuklia n.k) utakavyotumia kulinganisha ili asiyefahamu aone okay, kwa namna hii huyu yupo vema hapa au yupo dhaifu pale.
Tujifunze kujenga hoja
Unaweza ukawa na hoja nzuri...nakubaliana na wewe kuhusu nguvu za Russia na USA...lakini usilinganishe nguvu za Uingereza na , Ufaranza dhidi ya Russia...kidogo kwa conventional war China inaweza pengine ikafurukuta dhidi ya Russia lakini siyo kwa nuclear weapons...Mataifa mawili makubwa duniani kivita na kijeshi ni Russia na USA pekee kwa sasa...pale ilipo Russia kijeshi Marekani atafikiria mara 100 kujiingiza..mfano ni Ukraine..ambapo Russia iliingia na Marekani akasita kuweka pua pale...NATO pia ilikaa kimya tu bali tukasikia kelele kwenye media ...Marekani na nchi nyingine za ulaya zikaamua kutumia silaha ya vikwazo vya kiuchumi na siyo mapambano ya kijeshi....Nato yenye nchi karibu 30 inaweza ikajikuta pabaya ikipambana na Russia peke yake...pia Marekani ikiiamua kuivamia Venezuela ambayo ipo karibu na Marekani siamini kama Russia inaweza kutia pua pale kuiokoa Venezuela kijeshi...Hivi ndivyo ilivyo....Hata Russia ilipoingia huko Syria Marekani na nchi nyingine za ulaya au NATO zimeshindwa kumuondoa Assad kama zilivyokuwa zimepanga awali....
Wakati unaeleza umekula, usije ukawa unasogeza muda wa njaaaaalizotumia hapo Russia ni long range cruiser missile,inacheze kwenye zaidi ya km 2000,
Tomahwk cruiser missile sidhani kama inazidi km 1000 range,na ndo maana marekani akitaka kushambulia lazima asogeze manowari ya mashambulizi karibu na target,mfano persian gulf au meditterania,
tofauti na mrusi ambaye ameshoot cruiser missile kutoka katika manowari ambayo bado iko mbali kabisa blacksea,marekani bado hawaja demonstrate long range cruiser missile sea based
kula sio ishu kwangu mkuu,naona we unawaza kula tu mkuu,if you dont have it,you think of it all the time
Daah mkuu Umenikumbusha mbali sanavp boyka yumo
Very Truehakuna taifa lolote linaloweza kupambana lenyewe na mrussi
waulize wenyewe nani alimtoa HITLER
Katoa tu sifa nyingi but hiyo Ni kweli kabsa waliyatupa hayo madude karibu km 900 but so marekani Wala uk walioyaona..dhidi ya IsisHiyo mara nyingi ni stori za vijiweni. Sote tunajua Urusi ni kati ya mataifa yalio imara kivita. Lakini, bado huwezi kukurupuka na kuipamba tu kwa hisia. Haya nayaona kwa mashabiki wengi wasiozingatia hoja makini kuchambua masuala ya kivita.
Sasa hapo umetuma hizo picha za hizo silaha na mbwembwe kibao, je, Marekani hana? Mfaransa hana? Mwingereza hana? Mchina hana? Kama kweli umedhamiria kuonesha umwamba wa nchi fulani, lete vigezo(makombora, ndege, manowari,nyambizi, bunduki, nyuklia n.k) utakavyotumia kulinganisha ili asiyefahamu aone okay, kwa namna hii huyu yupo vema hapa au yupo dhaifu pale.
Tujifunze kujenga hoja
alizotumia hapo Russia ni long range cruiser missile,inacheze kwenye zaidi ya km 2000,
Tomahwk cruiser missile sidhani kama inazidi km 1000 range,na ndo maana marekani akitaka kushambulia lazima asogeze manowari ya mashambulizi karibu na target,mfano persian gulf au meditterania,
tofauti na mrusi ambaye ameshoot cruiser missile kutoka katika manowari ambayo bado iko mbali kabisa blacksea,marekani bado hawaja demonstrate long range cruiser missile sea based
Boyka ni muingereza sio mrusivp boyka yumo
Sio marekani kweli?..Kuna waigizaji Hawa Dolph landergreen, Yuri boyka( Scot Adkins) wamekwa wakijinasibu kwenye movie zao kibao Kama warusi Ni Kwanini?Boyka ni muingereza sio mrusi