hicho ndio kitu nilichoshangaa humo jijini. ukijifanya unaharaka unyeshewe mvua sehemu A ukifika sehemu B unaaibika maana utakutana na Jua na kila mtu anakuona chizi umetepeta kwa maji mwili mzima. Huo ujinga mwanza hatuna. Mvua ikinyesha inanyesha kote tunajua.