BELIEVE OR NOT,
Leo pangefanyika Uchaguzi wa kumshindanisha LOWASA kwa upande mmoja na CCM upande mwingine, LOWASA atapata ushindi wa KIMBUNGA!
Truth Shall Remain!
Nyie watu ndio munamfanya mwenzenu azidi kupoteza hela zake kwa kumdanganya kuwa anakubalika, sasa ngoja huo wakati ufike atakapovaa suruali kichwani kwa kuchanganyikiwa baada ya kushindwa, sijui mutaiambia nini familia yake.
BELIEVE OR NOT,
Leo pangefanyika Uchaguzi wa kumshindanisha LOWASA kwa upande mmoja na CCM upande mwingine, LOWASA atapata ushindi wa KIMBUNGA!
Truth Shall Remain!
BELIEVE OR NOT,
Leo pangefanyika Uchaguzi wa kumshindanisha LOWASA kwa upande mmoja na CCM upande mwingine, LOWASA atapata ushindi wa KIMBUNGA!
Truth Shall Remain!
BELIEVE OR NOT,
Leo pangefanyika Uchaguzi wa kumshindanisha LOWASA kwa upande mmoja na CCM upande mwingine, LOWASA atapata ushindi wa KIMBUNGA!
Truth Shall Remain!
Mkuu Babututu, ulijuaje?.Naona umeamua kumfurahisha Pasco
Nilipoona anaangukia pua pale Arumeru na kushindwa kumtetea mme wa mwanae mbele ya Nassari,sikuhitaji kuambiwa kuwa sasa mamvi kwishney,mwache arudishe walau vichenji alivyotuibia lakini urais atausoma kwenye media.