Usilolijua Kuhusu LOWASA na CCM

Usilolijua Kuhusu LOWASA na CCM

it's official now, mwanachama wa CCM mwenye nguvu kifedha na ushawishi mkubwa kwa wana CCM wengi,ndg EL ni adui #1 kwa baadhi ya wana CCM wachache.
 
Kaka Lowassa ananguvu sana katika chama na hata kwa umma. Wasimchukulie poa viongozi wa juu kwa kuwa anakashfa. Wajipange kumuweka sawa na kukubariana, kama wanampitisha mtu mwingine awe rais basi wahakikishe lowassa anawasapoti pia kwenye kampeni. Wakimfukuza lowassa kwenye chama chadema wanachukua nchi mchana kweupe tena alfajiri tu.

labda iwepo TUME HURU YA UCHAGUZI ndipo inaweza kutokea, ujue tu kwamba CCM huwa wanashindishwa na tume ya uchaguzi.
 
Hivi siku hizi ubwabwa nao unalewesha enhh? Yaani sahani mbili tu ulizopigishwa na mamvi ndo zimekuleta nduki huku Jf!!??
 
labda iwepo TUME HURU YA UCHAGUZI ndipo inaweza kutokea, ujue tu kwamba CCM huwa wanashindishwa na tume ya uchaguzi.
ipatikane tume huru au hapana,2015 ccm wakithubutu kufanya vote rigging kama walivyojizoesha ktk chaguzi zilizopita,lazima umwagaji damu utatokea.tuombe mungu yaliyotokea kenya 2007-8 yasitokee tz mwakani.
 
BELIEVE OR NOT,

Leo pangefanyika Uchaguzi wa kumshindanisha LOWASA kwa upande mmoja na CCM upande mwingine, LOWASA atapata ushindi wa KIMBUNGA!

Truth Shall Remain!

waache wafu wazikane
 
BELIEVE OR NOT,

Leo pangefanyika Uchaguzi wa kumshindanisha LOWASA kwa upande mmoja na CCM upande mwingine, LOWASA atapata ushindi wa KIMBUNGA!

Truth Shall Remain!

Nothing like that umashuhuri wa Lowassa ni sababu ya ukimya wa Kikwete. Kikwete akitamka leo kuwa Lowassa hafai ni fisadi kesho atabaki yeye na familia yake wanao unga mkono. Support yake ni sababu watu wanajua ni swahiba wa Kikwete kwahiyo ana kinafasi kuwa mgombea ule woga wao dhidi ya Lowassa iwapo atapeta ugombea CCM lakini Lowassa si mashuhuri vile ni pesa za wizi na mtandao wao ambao umeanza kuisha nguvu
 
Ccm +lowasa= kifo cha chadema

waacheni wafu wazikane na wafu wenzao yaani watanzania ni wajinga kiasi hiki? Lowassa alivyoibia watu na CCM ilivyochota mali za wananchi na sasa kuna mabilion uswiss bado mtu anaongea kwa furaha ushindi wa CCM kwa kishindo? watanzania mtauzwa kama wanyama nahuyu aliyeandika haya ni msomi. changes is coming
 
Nothing like that umashuhuri wa Lowassa ni sababu ya ukimya wa Kikwete. Kikwete akitamka leo kuwa Lowassa hafai ni fisadi kesho atabaki yeye na familia yake wanao unga mkono. Support yake ni sababu watu wanajua ni swahiba wa Kikwete kwahiyo ana kinafasi kuwa mgombea ule woga wao dhidi ya Lowassa iwapo atapeta ugombea CCM lakini Lowassa si mashuhuri vile ni pesa za wizi na mtandao wao ambao umeanza kuisha nguvu

mkuu hujui ulichoandka,kamwe jk hatosubutu kuzungumza neno lolote baya kwa lowassa,anajuw ----- wote alivyofnya kwny richmond,lowassa anachofny ni kutunza siri za mkuu wa nchi ciku akifunguka yawezekana nchi ikatetema
 
Makonda kusemana haradhani mnadhalilisha chama chenu. Mbona haikuwa hivyo kwenye awamu zilizotangulia? Mnashindwa nini kuyaongelea haya kwenye vikao vyenu vya ndani? Waiteni hao akina Lowassa wasemeni ndani ya chama. Mwambieni mwenyekiti wenu wa chama aamke asimamie chama. Kauli yake ni muhimu kwa mustakabali wa chama. Asiwe mtu wa kuogopa kulaumiwa kama inavyodhaniwa sasa.
 
Kwa sasa ndani ya ccm kiukweli hakuna anayeweza kuukimbiza upepo wa mzee mamvi. Viva lowasa viva presidaa of 2015.
 
unanishangaza mkuu,nafikiri huji kwamba nchi za kiafrica ukiwa na pesa unakua kiongozi pasi na shaka hata km we ni chizi.
 
Tulifurahi pamoja, tukahuzunika pamoja, tutashinda pamoja.
 
na wasirogwe wakamuweka ni lazima ashideee tena ila mie simpndi huku nikijua wkimuweka ni lazima ashinde
a
 
Back
Top Bottom