usilete u-mwanaasha wako....

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
16,452
Reaction score
38,186
jf kwa vituko, baada ya Masaburi kuvuma vilivyo, sasa wameanza kumhusisha Mwanaasha K na ukilaza....aaah ebu toa umwanaasha wako hapa...
 
kucheka mcheke nyie tu tukicheka sie twaambiwa tunazomea mwacheni mtoto wa wenyewe kwa taarifa yenu huyo ndie spika ajaye baada ya miaka 15
 
kucheka mcheke nyie tu tukicheka sie twaambiwa tunazomea mwacheni mtoto wa wenyewe kwa taarifa yenu huyo ndie spika ajaye baada ya miaka 15

nchi chini ya spika mwanaasha? Nahama nchi
 
Hahahaha, Jf haiishiwi Swaga hata siku moja, nyingine kibao zaja, stay tuned...
 
Behave guys, kupata 4 ndo mwisho wa maisha? Mbona we ulipata 0 form 4?
 
mwanaasha ni nani tena? Naombeni ufafanuzi na kafanya nini?
 
Haahahahaha,hhahhahahaha hahahhaa,
Nyie watu nyie dah!
hahahahah hahaha!
Nacheke ninenepe mie lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…