Hizo picha ndo za wahusika[emoji848]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Huu ushauri unafaa under 25.kuna mda ukifika mnaachana ili iweje, komaeni tu kibishiView attachment 1246895
Uko sahihi sana kwenye hili,watu wengi wamelizwa kwenye mapenzi kwa kulazimisha kuwapenda watu wasio wapenda au watu wasio sahihi,unakuta mtu anampenda mtu kisa tu ni mzuri sana au ana pesa sana au ana kitu flani,wakati kiuhalisia hao watu hawawapendi wao kivile,na hii ni kwa wote wanawake na wanaume wamejikuta katika wakati mgumu sana kwenye maisha yao ya mahusiano na hata wengine kufikia kujitoa uhai...Amka kumekucha,,[emoji364][emoji364]
Leo nakula hii nondo[emoji1007][emoji1009]
Sio mbaya kumpenda mtu. Mbaya ni kuendelea kumganda mtu ambae hisia zake hazipo kwako tena.
Hata siku moja katika mahusiano yako usipoteze hisia zako kwa mtu ambae hazithamini. Hii ni kwa sababu atakayeishia kupata shida ni wewe. Na hata siku moja hatakuonea huruma maana kadiri unavyofanya juhudi za kuonyesha hisia zako, yeye huona kama unamfanyia karaha.
View attachment 1246826View attachment 1246827