Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,500
- 6,105
Incredible truthusilazimishe Mchongo unaokataa, usilazimishe Safari inayokataa
Yes but it depend, kuna watu waliwahi ku force michongo wakaishia jela . Kwahiyo inategemea hiyo riziki unaitafuta kwa njia zipiKwenye kutafuta hela mzee lazima uwe mtu wa kuforce muda mwingine, wavumbuzi wenyewe walishakutana na ukuta mara kadhaa lakini walikaza mwisho wa siku Boom!
Maskini hajawahi kulindwa na ulimwengu hata siku moja!
Unaweza uka force mchongo ukaishia jelaKuna michongo lazima ulazimishe usikae tu kwenye comfort zone eti kisa huoni njia.
Kukata tamaa ni jambo moja na kulazimisha kitu ni jambo lingine ,Kukata tamaa ni dhambi...
Uelewa wako upo level hiyo , kwahiyo sikuhukumuKwamba ata bikira za pisi tusizitoe, maana kuna kizingiti
jibu hojaUelewa wako upo level hiyo , kwahiyo sikuhukumu
Hoja ni kwamba tatizo ni uelewa wakojibu hoja
Uelewa wangu ni mkubwa, una generalize vitu na kufanya assumptions based on feelings and not facts.Hoja ni kwamba tatizo ni uelewa wako
Tatizo una Generelize mambo , ninaweza nikakupa pia mfano wa ki biblia ambao una ku challenge kama safari ya mtume paulo ambayo ilikuwa ya kuvuka kwa njia ya maji ilikuwa na vikwazo vingi kabla ya hapo alilala usingizi nyoka akampitia mkononi akawaonya watu aliokuwa anasafiri nao kwamba anamashaka na safari wanayoenda itakuwa na hatari nyingi wakampuuza kilichokuja kutokea walipoteza shehena nyingi kwa misukosuko ya bahariUelewa wangu ni mkubwa, una generalize vitu na kufanya assumptions based on feelings and not facts.
Wakati mwingi tumeona Mungu akiwapa watu mkwamo ili ajidhihirishe.
Musa na Farao, Yesu na wayahudi na mifano mingi ambayo wapewa walipitia kwa watesi
Sasa hapo wewe ndiyo una uelewa finyu
Inategemea na imani yako maana sio wote wanaamini ktk MunguMapenzi ya Mungu sio
Na hasa kama Amani ya Mungu ndani yako nayo inakataa. Cha kufanya hapo na wewe likatae!😀Jambo lolote ambalo lina baraka za Mungu na ni mapenzi ya Mungu katika Maisha yako huwa hautumii nguvu kulipata
Usilazimishe Mchongo unaokataa, usilazimishe Safari inayokataa , usilazimishe Mapenzi yanayokataa , n.k . Universe is protecting you