Heisenberg blue meth
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,310
- 1,633
Vijana tumekua tukilalamika kua wanawake wa sasahivi hawajatulia, ni kweli wengi wao wapo hivyo na wanapenda pesa. Mimi napenda kuwaita taxi bubu, wanaitumia ngono kupata pesa kwa njia ya kuwa na mwanaume kimahusiano, kumbe wao pale wamefuata pesa tu.
Sometimes, sisi wenyewe vijana wa kiume ndiyo tunayataka wenyewe. Hivi kweli unakuwa na mwanamke aliyechora tattoo, mwanamke anaependa vitu vya gharama na maisha mazuri yaliyo nje ya uwezo wake, halafu wewe unajikakamua ukidhani utamridhisha; hapana, haumuwezi huyo.
Tatizo letu vijana tumekumbwa na ujinga fulani, yani wewe uwezo wako ni mdogo halafu unataka mambo makubwa. Hapo kwenye tattoo hapo, asilimia zaidi ya 90 ya wanawake wanaochora tattoo wana asili ya umalaya na kupenda vitu vilivyo nje ya uwezo wao.
Kama wewe IST, miliki IST. Kama wewe ni IST halafu unataka kumiliki Benz, hapo ndipo unaporuhusu kuchapiwa maana unatasaidiwa majukumu yanayokushinda.
Kama unaingiza laki 2 kwa mwezi, tafuta aina ya mwanamke ambaye ni wa laki 2 kwa mwezi, ambaye hiyo laki 2 unammudu kabisa maana hana mambo mengi, wanawake kama hao wapo, tena wazuri tu.
Sasa wewe unakua na mwanamke ambaye hiyo laki 2 anaimaliza hata week 2 hazijaisha, hapo itakula kwako.
Na hakuna mwanamke anayweza kuwa na mwanaume asiye na hela kabisa, ila tunapokosea tunachagua wanawake wasioweza kuishi na mwanaume mwenye kipato cha chini.
TAFUTA MWANAMKE AMBAYE KWA UCHUMI WAKO UNAMMUDU, USITAFUTE MWENYE MAHITAJI YALIYO NJE YA UWEZO WAKO.