Mwamba1961
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 633
- 417
Achana nao hao bado maunderground wanafikiri sisi hatujapita huko wanapopataja.
Hata mimi binafsi huko google nimesoma sana na nikaongezea skills zangu kulingana na experiences nilizopitia nimeshafanya interviews karibia 50 kwenye mashirika tofautitofauti so hiyo ya kukataa kujibu swali la mshahara halikwepeki lazima interviewer atakulazimisha utaje kiwango ili akupime kiwango chako.
Umefanya interview karibia 50 ?