Usikubali Kufia hapo

Unaweza weka ushahidi hapa usiokua na kipingamizi chochote?
Sisimizi kutoweza kusikia sauti ya binadamu haina maana binadamu haongei, Bali uwezo na upeo wake ni Mdogo. Mungu anaongea na ukijenga uhusiano nae unasikia sauti yake. Hata hivyo, maneno yake waweza kuyasoma katika kitabu chake kitakatifu, yaani Biblia.
Barikiwa
 
Sisimizi kutoweza kusikia sauti ya binadamu haina maana binadamu haongei, Bali uwezo na upeo wake ni Mdogo

Nani kakwambia sisimizi hasikii sauti ya mwanadamu au sauti nyinginezo?

Au sentensi imekutoka tu?

Bali uwezo na upeo wake ni Mdogo

Uwezo wake na upeo wake ni mdogo ukitumia reference ya kitu au activity gani ya kipimio?

Ni kama umchukue nyani na samaki uwapime akili zako kwa uwezo wao wa kuogelea.

Samaki atapata 100% na nyani atapata 0%,na kwa uzembe wako utasema samaki ana akili sana!

Mungu anaongea na ukijenga uhusiano nae unasikia sauti yake

Aliongea na wewe lini?

Unaweza weka ushahidi wako hapa usiokua na kipingamizi (yaani beyond reasonable doubt)?

Usituletee stori za niliota usiku naongea nae maana tutakuchapa vibao you are insulting our intelligence!

Hata hivyo, maneno yake waweza kuyasoma katika kitabu chake kitakatifu, yaani Biblia.
Barikiwa

Kumbe huyo mungu ni muandishi wa vitabu?

Angetakiwa awe movie director atoe movie au documentary fasihi simulizi kabisa,au hiyo technolojia bado hana?
 
Maswali yako ni Rahisi, kwa kuwa mada hii haikuhusu hayo hasa, nitaku tag nitakapo anzisha mada kuyajibu
 
Hahaa "

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…