Usikubali kubadili dini kisa mwanamke, mara nyinyi shetani huwatumia wanawake kukutenga na Mungu

Mimi ni mkristo. Nawafahamu wanawake wa kikristo wafuska kuliko ufuska wenyewe.

Pia nawafahamu wanawake wa kiislam wanaojielewa wengi tu.

Shetani atamtumia mtu yeyote awe mkristo au muislamu.

Hii ni karne ha 21, kubaguana na kutoleana maneno ya kashfa kisa dini ni upuuzi kama upuuzi mwingine!

Man up!
 
Sijaongelea mambo ya ufuska ulishawai kusikia popote muislamu anataka kuoa biti wa kikristo akalazimishwa kubadili dini awe mkristo
 
Mimi ni mkristo. Nawafahamu wanawake wa kikristo wafuska kuliko ufuska wenyewe.

Pia nawafahamu wanawake wa kiislam wanaojielewa wengi tu.

Shetani atamtumia mtu yeyote awe mkristo au muislamu.

Hii ni karne ha 21, kubaguana na kutoleana maneno ya kashfa kisa dini ni upuuzi kama upuuzi mwingine!

Man up!
Alafu wewe siyo mkristo akuna mkristo wa aina yako
 
Ngastuka, wanaume acheni tamaa za kimwili, ukiwa mcha Mungu kwelikweli haya hayawezi kukukuta
 
Back
Top Bottom