Usiku wa kuchombeza - JF

gasto genaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2014
Posts
780
Reaction score
554
Naam
Tunapolala usiku, tusilale kama wanyama
Unapolala, hakikisha unamchombeza mpenzi wako..
Mpe maneno matamu kwa muda mrefu hata saa moja.

Muda kama huu wa usiku mnene, ndiyo muda wa kuchombezana.
Kuchombezana siyo lazima kupigiana simu, hata kwa messages.
Tuelezane, tufunzane namna ya kuchombezana humu jf ili tusiwaangushe tuwapendao..

Tupia maneno mazuri mazuri ya kimahaba ya kuchombeza hapa.

Chombeza
 
Weka mbali na watoto.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Naam.. Palilia..

Mimi nikiwa naenda lindo saa nane, nilichombezwa pia
Aisee, afadhali yako uliyenae anajua chombeza, mimi wakwangu tokea saa 4 asubuhi alienda kwenye vikoba mpaka naondoka alikua hajarudi na kwenye simu hapatikani, saivi ndo kanisuprize na sms "We mhenga fanya uwahi kesho naona sukari imeisha"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…