Usiku unaishia hivi....!!!!

sisi wa mikoani pigo hizo usiku tunaweza uona kama mwaka
 
Wanaume wa dar ndo maana mnadharaulika, huwezi kula maandazi afu ukapige shoo za uhakika... Lazima abdala kichwa wazi agome kupanda mlima..

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Hapo pamekosekana juice ya muwa yenye ndimu na tangawizi ya kwa Ally mzungu wwete karibu na Utaani sec school au juice ya tende bopwe ndani ya wete
Daaah mkuu umenikumbusha sana mambo ya forodhani au pale m/kwerekwe kuna jamaa ana juice hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…