Super mega JF-Expert Member Joined Nov 21, 2023 Posts 1,176 Reaction score 2,372 Jul 1, 2025 Thread starter #41 Samson Ernest said: Vita vya kiroho vinapiganwa kiroho, endelea kusimama na Mungu, omba sana. Click to expand... Hakika vita vya kiroho vinahitaji kumuomba sana Mungu asante
Samson Ernest said: Vita vya kiroho vinapiganwa kiroho, endelea kusimama na Mungu, omba sana. Click to expand... Hakika vita vya kiroho vinahitaji kumuomba sana Mungu asante
Super mega JF-Expert Member Joined Nov 21, 2023 Posts 1,176 Reaction score 2,372 Jul 1, 2025 Thread starter #42 Black joe said: Muda unazidi kwenda hizi nazidi kuziona ni kama story za mwanamalundi Click to expand... Mkuu sio story.
Black joe said: Muda unazidi kwenda hizi nazidi kuziona ni kama story za mwanamalundi Click to expand... Mkuu sio story.
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 12,463 Reaction score 27,546 Jul 1, 2025 #43 Evelyn Salt said: Ameota, ila katika kuota alikua anapata feelings ya kwamba ni kitu kinatokea kweli na sio ndoto Click to expand... Anasema,...."nikisema uwazi namaanisha matukio yaliyo kuwa yanatokea nayaona kwa uhalisia huko huko usingizini na ndotoni" Sasa hapo utaelewa Nini ndg msomaji? Yaani uhalisia halafu muda huo unayaona ndotoni. Au ndo Mixxx By Yas?
Evelyn Salt said: Ameota, ila katika kuota alikua anapata feelings ya kwamba ni kitu kinatokea kweli na sio ndoto Click to expand... Anasema,...."nikisema uwazi namaanisha matukio yaliyo kuwa yanatokea nayaona kwa uhalisia huko huko usingizini na ndotoni" Sasa hapo utaelewa Nini ndg msomaji? Yaani uhalisia halafu muda huo unayaona ndotoni. Au ndo Mixxx By Yas?
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,667 Reaction score 171,794 Jul 1, 2025 #44 Nikifa MkeWangu Asiolewe said: Anasema,...."nikisema uwazi namaanisha matukio yaliyo kuwa yanatokea nayaona kwa uhalisia huko huko usingizini na ndotoni" Sasa hapo utaelewa Nini ndg msomaji? Yaani uhalisia halafu muda huo unayaona ndotoni. Au ndo Mixxx By Yas? Click to expand... Ulishawahi kuota ndoto yenye ujumbe bila shaka, hiyo ndoto ukiamka huwa ina feeling kama ulikua unaona live na sio ndoto, tofauti na ndoto tu za kawaida..... Aaaghh mi nmemuelewa kama hamjaelewa basi, mkale ugali sasa 😁
Nikifa MkeWangu Asiolewe said: Anasema,...."nikisema uwazi namaanisha matukio yaliyo kuwa yanatokea nayaona kwa uhalisia huko huko usingizini na ndotoni" Sasa hapo utaelewa Nini ndg msomaji? Yaani uhalisia halafu muda huo unayaona ndotoni. Au ndo Mixxx By Yas? Click to expand... Ulishawahi kuota ndoto yenye ujumbe bila shaka, hiyo ndoto ukiamka huwa ina feeling kama ulikua unaona live na sio ndoto, tofauti na ndoto tu za kawaida..... Aaaghh mi nmemuelewa kama hamjaelewa basi, mkale ugali sasa 😁
Super mega JF-Expert Member Joined Nov 21, 2023 Posts 1,176 Reaction score 2,372 Jul 1, 2025 Thread starter #45 Nikifa MkeWangu Asiolewe said: Anasema,...."nikisema uwazi namaanisha matukio yaliyo kuwa yanatokea nayaona kwa uhalisia huko huko usingizini na ndotoni" Sasa hapo utaelewa Nini ndg msomaji? Yaani uhalisia halafu muda huo unayaona ndotoni. Au ndo Mixxx By Yas? Click to expand... Ngoja ulale ukufe afu sisi tuoe mke wako endelea na ubishi wako.
Nikifa MkeWangu Asiolewe said: Anasema,...."nikisema uwazi namaanisha matukio yaliyo kuwa yanatokea nayaona kwa uhalisia huko huko usingizini na ndotoni" Sasa hapo utaelewa Nini ndg msomaji? Yaani uhalisia halafu muda huo unayaona ndotoni. Au ndo Mixxx By Yas? Click to expand... Ngoja ulale ukufe afu sisi tuoe mke wako endelea na ubishi wako.
Duh Aisee JF-Expert Member Joined Jul 28, 2025 Posts 1,296 Reaction score 859 Oct 6, 2026 #46 Chrysanthemum said: Muwe mnafua mashuka , unapolala kuwe mzunguko mzuri wa hewa , pia punguza kushiba sana kabla ya kulala ! Ni ndoto hizo Click to expand... Au sio
Chrysanthemum said: Muwe mnafua mashuka , unapolala kuwe mzunguko mzuri wa hewa , pia punguza kushiba sana kabla ya kulala ! Ni ndoto hizo Click to expand... Au sio
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,087 Reaction score 196,800 Oct 7, 2026 #47 Usilale na neti ambayo haijafuliwa muda mrefu... Cc: Mahondaw