Usiku mzito na vituko vya mauza uza

πŸ˜‚ wewe mwachiluwi siwezi kuwa na msongo wa mawazo kiasi hicho yani kwamba nimekosa amani kabisa basi bora nijifurahishe kwa kupika nyama ya foil kwa jiko la mkaa
Kwelii bas vizuri abujubujuu abujubujuuu uwai kazin
 
We ulitusimulia karama yako ya ndoto waotaji tulielewa, mbona umeamua kumdhihaki? Au unadhani umejaaliwa peke yako??
 
Mkuu kwa kusema mashuka ni machafu sio kweli kabisa sipo katika hatua hizo kabisa ni hali tu ya usiku kuwa vibaya na sio ndoto au kwamba nilikula chakula kigumu hapana nimekula kias kidgo sana.
Chumba kina hewa mkuu? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimemwambi pia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ujinga ujinga tuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we mtu shuka chafu,hujaoga na umekula viazi vya kuchemsha na maziwa mtindi.... Walahi lazima uote ujinga
 
Muda unazidi kwenda hizi nazidi kuziona ni kama story za mwanamalundi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…