Tangu uage ni masaa mawili sasa na bado upo lol
Nilisema nikiamka ntarudi,
sasa nimeamka
kwa hiyo nimerudi.
Exc na kaba napenda mnavyofatana kama kumbikumbi.
haukulala wala,ulikuwa una chit-chat
Mkuu, hebu thibitisha hilo kwa ufasaha.
hee imekuwa deni?
hehehe asisikie TaiJikeExc na kaba napenda mnavyofatana kama kumbikumbi.
hehehe asisikie TaiJike
Wala si deni, ni hoja tu.
basi vizuriiii