N Nzagamba Yapi Senior Member Sep 1, 2011 167 72 Nov 20, 2011 #1 Salaam za usiku mwema toka hong kong nawapenda wote,jf inanifanya nijisikie niko nyumbani.alamski
NusuMutu JF-Expert Member Sep 26, 2011 421 87 Nov 20, 2011 #2 Hong kong unafanya nini mkubwa? Huku tushachakachuliwa mchakato wa katiba mpya.
M Mbopo JF-Expert Member Jan 29, 2008 2,532 413 Nov 21, 2011 #3 Ulitaka tu tujue kwamba unakula nyoka