Je nyimbo gani nzuri huwa unaiskiliza mara kwa mara hasa nyakato hizi za usiku inakupa Usingizi mubashara""'
Kwa upande wang" Jim Reeves😛ut ur sweet lips closer to the phone huwa naiskiza mida hii ya kumweka mtu chuma tembele na purukushani mara kitandani kelele"Je wewe nyimbo ipi unaipenda hasa kusikiliza usiku huu"