Usiku Mwema jamani !"! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usiku Mwema jamani !"!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Buta, Apr 23, 2012.

 1. B

  Buta Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeona nikalale mtaniambia pinda akijihuzuru, yaan ameniharibia siku kabisaaaaa! Naomba uniamshe saa nane kasorobo Usiku niende kazin.
   
 2. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,838
  Likes Received: 4,207
  Trophy Points: 280
  Asante, imenibidi nipate castle light kidogo ndo ntapata usingizi, siku ya leo imeharibika sana.
   
 3. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hamnishindi mie nimekaangiwa nusu Kuku hapa nimemzira ! Yaani nimesusa kupeleka Pwani hadi kesho.
   
Loading...