Usiku mwanana (lakitanga)

Daaa mshana hapa mtandao umestaki kwa muda, bora ningeiona usiku aiseee
 
Last edited by a moderator:
Nyie mkielekezwa kila dakika mtakua mnapost humu, hapana. Wengine tubaki wachangiaji tu. Ni mtazamo usijenge chuki.

Inavyoonekana utotoni mwako ukisikia 'hodi' ulikuwa unaficha nyama mfukoni. Uchoyo gani huo...!
 
Daaah! Nshaharibu udhu wangu!
 
Tafadhali...ni laki tanga au lakitanga???!! Dada zangu ujue hao bora iwe laki tanga, kujiachia hivyo manake nini!? Hii Tanga tunanunua laki, nadhani ndo utakua ulimaanisha hivyo.
 
Jamani huyo ni mmoja au ni wawili wamesogeleana?maana la upande mmoja tu sawa na mawili ya akina flat screen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…