Usiku huu nimepata tabu sana


Mkuu.. Hawa ni dada zetu ila tuishi nao kwa akili sana, kua na vitu vyote ivyo inaweza kua ni sababu nzuri pia ya yeye kukukataa just akuoneshe hana shida navyo hata kama anavitamani, lengo lake akuringie tuu, nakumbuka kuna mmoja huyo ilikua daraja la kigamboni, hua nina kawaida baada ya kuvuka sehemu ya kulipia pale kuna kua na wanafunzi wengi wa shule ya msingi, kama unaenda mjini asubuhi wanasubiri lifti, basi hua nawachukuaga siku hiyo kuna mrembo alikua amekaa pamoja na hao wanafunzi si nikapaki karibu yao kabisa ili niwachukue wanafunzi basi yule mrembo alisonya na akawa anakimbilia gari ya abiria alijua nimepaki kwa ajili yake..bahati nzuri wale wanafunzi wanajua gari yangu wakaikimbilia.. Na yule dada akakosa na gari yenyewe ya abiria.
 
Wazungu na waAsia hawatengenezi kucha?

[emoji252] [emoji479]
 
Mbona hukumwambia,au ulitaka akutongoze yeye kisa una gari?jaribu kuwa unafunguka sio udomo zege ila pole kwa kusikiliza sauti za mtifuano
 
Wazungu na waAsia hawatengenezi kucha?

[emoji252] [emoji479]
Wabongo wamezidi. nmeishi Asia . Wao ni more natural than artificial kama ninyi dada zetu. Nmeishi na wadada wakiAsia.wadada wengi wakiafrica hamjiamini. Unamuona mdada ni beautiful mnajitengeza mpaka mnaboa. Mi sjaoa Ila my wife sitahitaji hayo manjonjo yaliyopotiliza. Yaani mke wangu anakuja kushikwa shikwa na jianaume lingine tena msafisha kucha ambaao ndio Malaya wakubwa. Kwangu nikimkuta viboko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa kuishi Asia
Ila hukuliona Hilo kwa sababu wao wanajikoleza
Weusi wanajibadilisha

[emoji252] [emoji479]
 
True mkuu unyayo ni sehemu sensitive sana..hapo lazima wawe wet tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa ni Zaidi ya Timbulo, unakaa na mtoto nyumba afu anakushinda
 
Haya mambo hayana formula... na mwanamke hatabiriki...

Unaweza ukampa kila kitu na usimpate kumgonga... ila akaja kugongwa na mwingine kwa kitu kidogo sana...


Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…