Usikose kesho, uwekezaji na kujiariji mwenywe

Usikose kesho, uwekezaji na kujiariji mwenywe

Joined
Mar 14, 2014
Posts
90
Reaction score
6
HALLOW USIKOSE BONGE LA EVENT LA KUSISIMUA, NI UZINDUZI WA BUSINESS PLAN UNAYOWEZA KUKULIPA HADI 1.2 NDANI YA MIEZI 3. HII SIO YA KUHADITHIWA NJOO UJIONEE.
VIJANA WADOGO WAKIPATA MAFANIKIO MAKUBWA.
TUTAKUA NA WAGENI TOKA U.S.A, SOUTH AFRICA,UGANDA N.K
GUEST SPEAKER RICCO BROWN(U.S.A)
VENUE:- UBUNGOPLAZA, Blue pearl Hotel
SIKU:- JUMAMOS 12 APRIL 2014
MUDA:- SAA 7 NA NUSU MCHANA
CONFIRM UWEPO WAKO MAPEMA NIKUCHUKULIE TICKET.
Contact:-0766789288
 
Huo ni ubabaishaji wa pyramid ambao hauwezi kukutoa kiaina wakati ukiwa kundi la karibu na mwisho.
 
Mbona unababaisha
Niliona post yako nyingine hujajibu swali language
Huku umeongea tofauti
Daaa
I was about to come lakini kwa mtindo huu nimepata mashaka
Itakuwa forever tu
Haya kila la heri kaka
 
Hi karibu sana kingilio ni bure kabisa kama utaconfirm unakuja ntakuchulia ticketi.
na siyo forever living. ni ujasiria mali ndani ya Tanzania
 
Hahahaha pyramid scheme na ndio maana unahitaji watu wakija wapitie kwako ili wawe wateja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom