Usikopi Ndoa ya Mwezio

Wanawake wanene wanajikuta wanaharakati sana, namuonea huruma bro wetu nyumbani
Apo utakuta kafungua kiji-botique uchwara sinza,
Kaenda china mara 2, anavimba keshajikuta financially stable hata kuaga anaona kama sio wajibu wake
 
Hii vita imekua kali wakuu. Kukaeni mezani tu, hili swala linazungumzika
 
Tumeumbwa Tofauti,

Wanaume tukiwa na pesa,
tunatafta wanawake wa kuspend nao

Wanawake wakiwa na pesa,
wanatafta namna ya kujitenga na wanaume
Nakazia. 90% ya wanaume wakipata pesa wanawaza familia (mke na watoto). 90% ya wanawake wakipata pesa wanawaza kuachana na waume zao wakaishi wenyewe huku wakitafuta wanaume wa one night
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…