Usikojoe hapa!!!!!!!!!

Usikojoe hapa!!!!!!!!!

Bukayo jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
2,782
Reaction score
1,647
[h=6]Muhindi mmoja alikamatwa na polisi akikojoa barabarani na kutozwa faini 50,000.Yule muhindi akatoa bila ubishi...polisi kucheki vizuri akakuta niaje niaje pandre bhai katoa 55,000 badala ya fifty,then akamuuliza muhindi....''niaje...nivp...mbona umetoa zaidi?''...yule mshua wa kihindi akamjibu....''Wakati kojoa,iko jamba kidogo bhai..''[/h]
 
Mhindi ni soo, kama ni mimi ningemwambia ushuzi ni 10,000 ongeza 5,000
 
Alikuwa na hela za kuchezea ningekuwa mm ningeongea naye mpaka mwisho ni msamaha!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom