franktemu123
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 1,406
- 1,483
- Thread starter
-
- #41
Scholarship ya jamaa ilikua Miaka 3. Sasa kule Supervisors (Main na Co-supervisors) wanazinguana mpaka leo hawajafikia popote mwaka wa 7 kwa hiyo anaishi kwa mshahara tu. Alipe bills za familia TZ na UghaibuniKwanza mtoa mada anatuchanganya kwa mambo yafuatayo:
Mosi, mtu anaeenda kufanya PhD maana yake aliajiriwa akiwa kama TA au Mhadhiri msaidizi(assistant lecturer), kwa scale za mshahara wa serikalini, huyo jamaa haipungui 2m kwa mwez kama alikua na masters tayari, kama alikua TA milion moja karibu na nusu take home, sasa je kama alimuachia wife salary iweje uchumi uyumbe?
Mbili, PhD za nje asilimia kubwa huenda kwa ufadhili, maana gharama zake ni kubwa sana, kama hivyo ndivyo, iweje ashuke kiuchumi kwa kiasi cha ndoa kutetereka?
Nafanya PhD kwa ufadhili, hela ya ufadhili inatosha kula mimi na wife, japo nipo chuo cha private ambapo mshahara si mkubwa sana tofauti na scale za serikalini kama SUA, lakin mahitaji yote ya msingi yanapatikana!
Nadhani jamaa kaoa kahaba, au na yeye binafsi ana shida asizoziweka wazi, ama ameenda kufanya PhD kwa kujilipia kitu ambacho siamin kwa mtumishi wa umma kwa kuzingatia mshahara wake ukilinganisha na gharama za shule ya nje!
Sent from my SM-N910U using JamiiForums mobile app
Hapo kazi ipo na problem ya supervision kwa graduate studies ni jambo la kawaida sana, ila kwa level ya PhD mwenye final say kwenye kazi ni first supervisor, lakini wakiwa wanazingua una nafas ya kuandika barua kuomba ubadlishiwe. Miaka 7 asee ngesharudi mapema sana, asipoangalia shule itakua imeishia hapo, scholarship zote wanakupiga pini ya deadline, usipomaliza ndani ya muda hawahusikiScholarship ya jamaa ilikua Miaka 3. Sasa kule Supervisors (Main na Co-supervisors) wanazinguana mpaka leo hawajafikia popote mwaka wa 7 kwa hiyo anaishi kwa mshahara tu. Alipe bills za familia TZ na Ughaibuni
HahaaaaUsiseme hujaambiwa. Kijana usijifanye we mfia dini kwa kutaka kuhalalisha wakati bado unajenga career, hakikisha wakati unatangaza ndoa uwe umekamilisha angalau Masomo na una career au biashara inayoeleweka. Kuna dogo alipata kazi SUA akaoa fasta akatakiwa kwenda PhD China.
Sasa Uchumi ukatingishika bibie huku anatoa mitusi kama yote, jamaa kule shule haiendi mwaka wa 7 karudi Bongo, mwajiri anamuuliza vyeti vya PhD jamaa anang'aa sharubu kwa huruma. Jamaa kaambiwa aende kozi ya udereva VETA ili asikose vyote.
NB: Weka mambo ya uchumi sawa kabla ya kuoa, mwanamke si ndugu yako eti akuvumilie shida zako.
Amesharudi bila PhD kazini wamem-categorize kuwa Warden. Mke kakimbia.Hapo kazi ipo na problem ya supervision kwa graduate studies ni jambo la kawaida sana, ila kwa level ya PhD mwenye final say kwenye kazi ni first supervisor, lakini wakiwa wanazingua una nafas ya kuandika barua kuomba ubadlishiwe. Miaka 7 asee ngesharudi mapema sana, asipoangalia shule itakua imeishia hapo, scholarship zote wanakupiga pini ya deadline, usipomaliza ndani ya muda hawahusiki
Alaaaa hpo sawa!Inawezekana amepewa adhabu kwa kutumia vibaya muda wa muajiri, kuhusu muda inawezekana alikuwa hakamilishi kivuko/alikuwa wa kufeli feli
Dah huwa noma sanaAmesharudi bila PhD kazini wamem-categorize kuwa Warden. Mke kakimbia
Endelea kujifarijiUnaweza kuwa unasubiri ufanikiwe ndipo uoe, Kumbe Mungu anasubiri uoe ndipo Ufanikiwe.
Kuna baadhi ya watu mafanikio Yao yamebebwa na wake zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha hayana kanuniEndelea kujifariji
Sasa Kama wewe umeridhika na chumba kimoja Cha kupanga utajilinganisha na wengine?
Mkuu usipende kugeneralize,wapo wanawake wema na Wavumilivu.Usiseme hujaambiwa. Kijana usijifanye we mfia dini kwa kutaka kuhalalisha wakati bado unajenga career, hakikisha wakati unatangaza ndoa uwe umekamilisha angalau Masomo na una career au biashara inayoeleweka. Kuna dogo alipata kazi SUA akaoa fasta akatakiwa kwenda PhD China.
Sasa Uchumi ukatingishika bibie huku anatoa mitusi kama yote, jamaa kule shule haiendi mwaka wa 7 karudi Bongo, mwajiri anamuuliza vyeti vya PhD jamaa anang'aa sharubu kwa huruma. Jamaa kawa re-categorized kuwa WARDEN
NB: Weka mambo ya uchumi sawa kabla ya kuoa, mwanamke si ndugu yako eti akuvumilie shida zako.
Wapo pia wapenda pesaMkuu usipende kugeneralize,wapo wanawake wema na Wavumilivu.
Mafanikio yapo ktk ndoa.
Ukiwa bachelor kutoboa kimaisha ni changamoto sana.
Sawa lkn sio wote,Mimi mwenyewe nipo shule na wife ananivumilia.Wapo pia wapenda pesa