Usiseme hujaambiwa. Kijana usijifanye we mfia dini kwa kutaka kuhalalisha wakati bado unajenga career, hakikisha wakati unatangaza ndoa uwe umekamilisha angalau Masomo na una career au biashara inayoeleweka. Kuna dogo alipata kazi SUA akaoa fasta akatakiwa kwenda PhD China.
Sasa Uchumi ukatingishika bibie huku anatoa mitusi kama yote, jamaa kule shule haiendi mwaka wa 7 karudi Bongo, mwajiri anamuuliza vyeti vya PhD jamaa anang'aa sharubu kwa huruma. Jamaa kawa re-categorized kuwa WARDEN
NB: Weka mambo ya uchumi sawa kabla ya kuoa, mwanamke si ndugu yako eti akuvumilie shida zako.