Usikate tamaa katika maisha

Usikate tamaa katika maisha

Prince Naahjum_

Senior Member
Joined
Jun 13, 2016
Posts
139
Reaction score
125
1471000022085.jpg

Katika maisha, unapoanza kufanikiwa katika kila nyanja, nakuhakikishia shetani atakuja na kila aina ya uharibifu, hasa kupitia kwa watu wako wa karibu. Ataleta majaribu kutoka pande zote, kila mtu atakuzungumzia vibaya, wapo watakao kukatisha tamaa, kukudhalilisha, kukufanya ujihisi mwenye hatia, kukufedhehesha na wengine watakuonea wivu.

Ni kawaida kujisikia vibaya kwa sababu wewe ni binadamu kama mimi, na kila binadamu ana hisia. Katika kipindi hiki unaweza hata kumsahau Mungu nakuhisi Mungu hayupo kwakuwa unaona kila unacho muomba hakuna majibu.

Sikia nikwambie, hilo ni suala la muda tu na kila mtu anapitia, mambo yote yatakuwa sawa. Ni kipindi kigumu sana kwakuwa katika kipindi hichi utasalitiwa, utaonewa, utahukumiwa, na kusingiziwa. Lakini Mungu atawafichua na kuwaondoa rafiki wabaya wanaokuzuia usisonge mbele.

Wakati umekata tamaa kabisa kwa hayo unayopitia ndipo Mungu atakapokushangaza kwa Ukuu wake, atakubariki kuliko vile ulivyomuomba. Atakufungulia milango ya baraka na neema kila kona, atawaaibisha adui zako. Hapo waliokudharau watatamani wawe hata vijakazi wako. Watakuamkia hata kama una umri mdogo kuliko wao.

Kazana kupambana, usikate tamaa Mungu yupo na wewe. Wewe ni mshindi , Pambana mpaka hatua ya mwisho huku ukiamini kuwa unaweza. Na unaweza kwasababu unajuhudi na una Mungu na Mungu ndio kila kitu katika maisha yetu!

The future is brighter than ever, Keep it up.

PRINCE NAAHJUM ALSINA
 
View attachment 380243

PRINCE ni kama umeyaona maisha yangu yalivyo.mhhh yaaani mm ni mmoja ya watu ambao tayari nimekaribia kukata tamaa kabisa ya kufanikiwa kimaisha.nimepoteza 90%ya nilivyokuwa navyo.na ulichoandika ndio kinachonipata kwa sasa.kwa kweli umenigusa sana kwa 100% hii news.asante pia kwa ushauri nitajitahidi sababu ata hamu ya kazi sina tena sababu kila nikiwaza kufanya kazi nahisi majanga yatazidi sana.
 
MUNGU wangu, pole sana kaka..! Naomba usife moyo ndugu yangu...! Wewe ni muhimu sana na bado unayo nafasi ya kizid kujaribu kadri uwezavyo..!
 
Asante kiongozi lkn mhhhh "KILA NIKIPATA UFUNGUO WA MAISHA NAHISI KUNA BWEGE ANABADILISHA KITASA" kazi na naijua ila nakisa nguvu ya kufanya kazi kwa kweli ila kuanzia kesho nitajitahidi kufata ushauri wako.big up sana
 
Asante sana kaka..! MUNGU akutiee nguvu na kufungua milango yako ya mafanikio, na kuweka mbali wale wotee wabaya
 
Wange patikana watu kumi kama wewe hapa jamiiforum ingekuwa tiba kubwa ndani ya mioyoo ya watu. Watanzania wengi wanapitia hiyoo hali. Hasa hasa sisi wafanya biashara. Marejesho yamikopo imekuwa changamoto. Biashara ngumu.

Ameni nimependa ujumbe wako.
 
View attachment 380243
Katika maisha, unapoanza kufanikiwa katika kila nyanja, nakuhakikishia shetani atakuja na kila aina ya uharibifu, hasa kupitia kwa watu wako wa karibu. Ataleta majaribu kutoka pande zote, kila mtu atakuzungumzia vibaya, wapo watakao kukatisha tamaa, kukudhalilisha, kukufanya ujihisi mwenye hatia, kukufedhehesha na wengine watakuonea wivu.

Ni kawaida kujisikia vibaya kwa sababu wewe ni binadamu kama mimi, na kila binadamu ana hisia. Katika kipindi hiki unaweza hata kumsahau Mungu nakuhisi Mungu hayupo kwakuwa unaona kila unacho muomba hakuna majibu.

Sikia nikwambie, hilo ni suala la muda tu na kila mtu anapitia, mambo yote yatakuwa sawa. Ni kipindi kigumu sana kwakuwa katika kipindi hichi utasalitiwa, utaonewa, utahukumiwa, na kusingiziwa. Lakini Mungu atawafichua na kuwaondoa rafiki wabaya wanaokuzuia usisonge mbele.

Wakati umekata tamaa kabisa kwa hayo unayopitia ndipo Mungu atakapokushangaza kwa Ukuu wake, atakubariki kuliko vile ulivyomuomba. Atakufungulia milango ya baraka na neema kila kona, atawaaibisha adui zako. Hapo waliokudharau watatamani wawe hata vijakazi wako. Watakuamkia hata kama una umri mdogo kuliko wao.

Kazana kupambana, usikate tamaa Mungu yupo na wewe. Wewe ni mshindi , Pambana mpaka hatua ya mwisho huku ukiamini kuwa unaweza. Na unaweza kwasababu unajuhudi na una Mungu na Mungu ndio kila kitu katika maisha yetu!

The future is brighter than ever, Keep it up.

PRINCE NAAHJUM ALSINA

Location COED
 
Wange patikana watu kumi kama wewe hapa jamiiforum ingekuwa tiba kubwa ndani ya mioyoo ya watu. Watanzania wengi wanapitia hiyoo hali. Hasa hasa sisi wafanya biashara. Marejesho yamikopo imekuwa changamoto. Biashara ngumu.

Ameni nimependa ujumbe wako.
Asante sana ndugu yangu
 
Back
Top Bottom