Miaka kadhaa iliyopita rafiki yangu alitaka kukatisha maisha kisa hali ngumu. Hakuwa na fedha, hakupata wa kumsaidia. Alitengwa na familia. Kikubwa alijiepusha na madawa ya kulevya.
Leo hii ni mtu ana nyumba, magari na kazi nzuri ilhali anawasaidia wengine.
Je, umekata tamaa? Ni pm nikupe mkasa mzima.