tovuti website
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 433
- 546
Fursa tulizo nazo katika kipindi hiki wazazi wetu hawakuwahi kuziota.
Zamani sana kazi ilikuwa ni moja tu,Kilimo au ufugaji.Kazi nyingine ziliendelea kuzaliwa kadiri teknolojia ilivokuwa inakua.
Leo nataka nizungumze na watu ambao wamezunguka 1 year hata 10 years wakijaribu kutafuta ajira.
Kwanza tukubaliane kwama ajira ni ngumu.
Pili tukubaliane kwamba hata unapoajiriwa unakuwa umejiajiri sema unaamua kugawana kipao chako na yule aliyekuajiri.Wengi huwa tunafikiri kwama yyule alotuajiri ndo anatugawia kipato chake kumbe ni kinyume chake.Nitakuelezea kwa urahisi.Unapoanza kazi unafanya kazi bure kwa siku 30 bila malipo yoyte yale mpaka baada ya siku 30 ndo unalipwa.Ili mwajiri wako akulipe lazima na wewe uwe umezalisha kiasi cha kutosha kukulipa wewe na yeye.SO kiuhalisia unamfanyia mwajiri wako kazi bure kwa siku 30 ndo aje akulipe.Anachokulipa ni kidogo katika kile ulichozalisha(BIG PICTURE) kwa maana nyingine ni kwamba umemzalishia kwanza ndo akakugawia kidogo kwa kadiri anavyoona inafaa.
Sasa jaribu kufikiri iwapo utaamua kujiajiri.Kwanza utajilipa mwenyewe,Na kuna uwezekano wakatokea watu ambao nao hawajui hii siri wakakufanyia kazi ya kukutajirisha kwa siku 30 kisha ukishavuna za kutosha unawamegea hapo kidogo.
Sasa sisemi kwamba kuajiriwa ni ujinga ila nataka uelewe tu kwamba kuna BETTER OPTION.Wapo watu wengi ambao wamejiajri kama mimi,wengine kwa sababu ya mazingira,kwa kupenda au kwa bahati tu.Kati ya hawa kuna wanaotengeneza faida kubwa na kuna ambao wanasukuma tu siku ziende so SIO RAHISI.
Pamoja na hayo teknolojia imetupa fursa nyingi sana za kuweza kujiajiri.Ni wewe tu uelewe na kutambua kwamba sasa nimejiajiri na kuendesha biashara yako kama serious business.Mfano.SISI tunajishughulisha na biashara za aina mbalimbali kama kampuni.Moja wapo ya biashara ya mwanzo ambayo tulianza nayo ilikuwa ni ya kuuza WEBSITES na HOSTING SPACE kama resellers.Kwa kufanya hivo tulimiliki BIASHARA yetu wenyewe.Mwanzoni haikuwa na faida kubwa na kulikuwa na kujifunza kwingi lakini katika kipindi chote tumejifunza na kukua kiasi kwamba tunaweza kusema kwamba tumepata utaalam wa kutosha inagwa bado tunaendelea kujifunza.
Kila changamoto tuliyokutana nayo ilitufanya tujifunze zaidi na kukua.
Wakati tunaanza hii kazi mtaji wa kuanzia ulikuwa ni sh 60,000 kwa mwanzo ambapo ulipata bidhaa za kuuza na platform ya kuuza.Tulipata mafunzo na kuelekezwa kwa gharama ya TZS 200,000.Yale mafunzo ya mwanzoni yalituwezesha kuimudu biashara na kuanza kuijenga.Katika safari hii tulianguka na kuinuka ila maarifa yalituongoza.
Sasa hivi tunahudumia biashara ndogo nyingi na ni moja kati ya kampuni ambazo tunaweza kukupa huduma kwa gharama nafuu na ubora wa hali ya juu.Bado tunakua na bado tunajifunza
Sisi nasi tumeona tulete fursa kwa vijana ambao wangependa kujiingiza katika biashara ya kuuza na kusambaza mifumo ya computer na hosting space.Iwapo unapenda kuwa Partner wetu tukasaidia kupata yafuatayo:

- Kukushauri juu ya biashara hii na namna unaweza kupata pesa
- Kukusajilia jina la biashara BRELA ambalo litaakisi biashara hii
- Kukuandalia marketing materials kwa ajili ya kutangaza biashara yako
- Kukupa support wakati wote ili uweze kutoa huduma bora kwa wateja wako