mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 6,502
- 18,174
Changamoto ni nyingi sana unazozipitia. Kuanzia kwenye familia yako ,kazini kwako na pia hata kwenye mahusiano yako.
Na pia labda una changamoto ya kiafya ya muda mrefu inayokutesa kiasi kwamba unatamani kujiua. Yape maisha nafasi .. Labda pengine kuna Mwanga mbeleni.
Pia ukosefu wa kipato cha uhakika, kazi na pia umaskini uliokithiri. Iambie tu nafsi yako nimeanguka ila Nitasimama tena.
Hata hali ya kisiasa inayoendelea humu tz tu inaweza kukufanya ujihisi kukata tamaa na haya maisha. Ila amini Mwanga upo "Lit Wicht".
Iambie nafsi yako "NITAINUKA NA KUSIMAMA TENA".
Utazame mwezi na nyota zake angani zipo nawe kwa kila hali iwe mvua au masika ,zipo nawe kila dhoruba na vipindi vya faraja
Suicide Ideation feelings zikatae.
Sote kwa Pamoja tutashinda.