hata mm Niko hvyoo...Umesomeka ingawa wengine tuna tatizo la kuamini watu kirahisi labda kwasababu ni waaminifu kwahio tunafikiri kila mtu ni kama sisi.
Hili tatizo ninalo pia.hata mm Niko hvyoo...
na hua inanicost sana..
na nilishaonywa Ila sisikii...
yaani wewe ni muaminifu Ila unaemuamini ni chui Mwenye ngozi ya Kondoo
extrovet Ila sio kilaza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]■ INTROVERTS wengi ni:-
-Geniuses
-wakimya sanaa
-Hawakurupuki
◆ ILA PIA
-Wanapatwa sana na ugonjwa wa moyo
-Wanaonewa sana katika jamii
- Ni wagumu kusamehe na kusahau
-Inasemekana na kuaminika kuwa wengi hawaishi miaka mingi hasa kwa kufa kwa ugonjwa wa moyo na kupuuzia maradhi na magonjwa
■ EXTROVERTS
-Ni wenye kuongea sana hasa kwa wanayoyajua.
-Wana marafiki wengi sana
-wanasurvive miaka mingi kwani hawafichi sumu mwilini na rohoni kama Chuki, Hasira na kisasi
- Ni wepesi kusamehe na kusahau
◆ ILA PIA
-Wengi ni Vilaza
-Wengi ni wambea
-Mara nyingi hawawezi kujisimamia wenyewe wanahitaji support ya mtu au watu wengine.
JICHUNGUZE UKO WAPI?
ndo tumeshaumbwa hvyooHili tatizo ninalo pia.
Natamani siku niweze kuondokana na hii hali
Mi n introvert Yan ukinikosea fanya Kaz kaniomba msamaha napenda sana kukaa na kinyongo sioni Kaz kukununia hata uwe Nan■ INTROVERTS wengi ni:-