Usijidanganye kuwa unaweza kumridhisha mwanamke!

kila kitu walichozaliwa nacho hawaridhiki nacho, kama siyo mkorogo kubadili rangi basi kuna wachoraji wa kuchora miguu, mapaja na mikono. Au wanachora nyusi au mdomo inakuwa kama paka kanywa damu. Nywele bandia kucha bandia hadi kope!!! asipobandika kucha bado ile rangi halisi ya kucha haitaki anaweza kupaka hata rangi ya nyumba.
 
Mwanamke hajawahi kujua anataka nini kwa mfano angalia wanawake wanaosema wanapenda wanaume warefu na mahandsome kama ni kweli vidume vinavowagonga vina hizo sifa...
 
Kuna vitu vitatu havitosheki naam kuna vinne visivyosema basi!!!
1........
2........
3........
4. Shimo
 
Mwanamke mke ni shidah.... Upate Babati tu ndio kitu cha kuomba.. Lakini sio swala la kumridhisha.....
 
Back
Top Bottom