Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,624
naam mkuu maisha baada ya kifo maana yake tukifa tutafufuliwa na kuhukumiwa na hapo kila mmoja atashika njia yake ama ya oepo au moto...hakuna maisha baada ya kifo. ila ufufuo upo.
Naona umeamua kufanya ibada jf?habari wakuu natumai ni wazima.huu uzi ni maalumu kwa ajili ya wale ndugu zetu wa damu ambao hawana dini na wanaeneza taarifa ambazo zinakataliwa na dini zote na akili salama za mtu,wanasema HAKUNA MAISHA(MOTO AU PEPO)baada ya kifo,wanakusudia eti ukifa wewe unapotea tu hewani kama kuku,au mbuzi au mnyama mwingine.
hii akili sio salama kabisa ndugu zanguni kwa sababu kwanza dini zote kuu(uislamu naukiristo)zinathibitisha kuwepo kwa maisha baada ya kifo tena amotoni au peponi.kwa maana ukifa unafanya madhambi utaenda motoni na ukifa unafanya mema utaenda peponi.
hii kuamini hivi ndio salama kabisa kiakili na ndio usahihi kwa sababu hawa wenye madai haya wanasema hivi vitabu vya dini vimeandikwa na watu kama sisi ili tuheshimu tu tawala za dunia,yani kwamba eti ukienda kanisani au msikitini unapewa mawaidha na kuambiwa acha pombe acha kuiba acha wizi acha wake za watu n.k eti pale unaheshimu falme za dunia.
sasa ukijizuia kuzin,kuiba,kutapeli,kupora na dhambi zinginezo hivi unakuwa unatii ufalme wa nchi gani haoa duniani?
ufalme wa nchi unafahamika sheria zake ni za katiba na hata hao wanaosema hakuna maisha baada ya kifo wanatii katiba za nchi kwa heshima kabisa,sasa wanawabeza wale ambao wanafuata katiba ya mungu kiimani.
sasa hawa hawaoni kwamba wao ndo wanatii falme za nchi kwa kutii na kufata katiba za nchi?
ajabu zaidi wanasema hivi vitabu vinavyoitwa vya mungu vimeandikwa na watu tu yani mfano taurati kaiandika mtu tu,au injili au quran kwa hvyo wanatuambia kwa kuwa kaandika mtu basi haina haja ya kutii na kuziamini kwa kudai ni uongo.
tujiulizeni sasa,hawataki kutii vitabu vya mungu kwa kuwa eti vimeandikwa na watu,sasa mbona wanazitii katiba ambazo zimetungwa na watu ambao wanawalalamikia ni walevi,mafisadi au madicteta au wanamapungufu fulani huko bungeni?
mbona wanazitii zilizotungwa bungeni na watu vile vile?
kuna tofauti gani kati ya watu hao wanaowatii sheria zao (katiba)na watu wale walioandika vitabu vya mungu?
Kwa sababu ikiwa wanakataa kiukweli kutii vilivyoandikwa na watu basi WAWE WAKWELI MBONA WANATII KATIBA ILIYOANDIKWA NA WATU VILE VILE?
mfano katika kununua bidhaa kuna taratibu unafuata kama risiti,au viwanja lazima ufuate taratibu za nchi,enhee hamzifati kwa kuwa zimetungwa na watu?
hawa watu ni waongo kabisa na akili zao kidogo zina pepo mchafu amewachezea wanajikoroga tu.
kwa sababu kwa akili ya kawaida tu tunajua kuzini ni madhambi au kuiba au kuchukua mke wa mtu na.k
sasa jiulize akilini tu kwamba ikiwa kuna maisha baada ya kifo hivi kweli kuna ambae ataadhibiwa na mungu kwa kuwa tu eti hakuiba au hakuzini au hakulewa?
nadhani akili haikubali jambo hilo,sasa ikiwa wewe unaamini kwamba tukifa ndo tumekufa alafu ukawa hapa duniani ushakula wake za watu,umeiba,umelewa na kufanya ufisadi kisha ukafa na hali hiyo ukakutana na maisha mengine hivi huoni utakuwa imekula kwako?
na yule ambae hakufanya hayo uliyofanya wewe na akafa akakuta hali hiyo ya maisha ya milele huoni kama atakuwa amekula donge nono?
na ikiwa huyu hakukuta maisha baada ya kifo na wakati duniani alijizuia na madhambi atapata hasara gani huko?
sasa ndugu we jifanye huamini ukaenda huko ukayakuta utajuta si utakuwa ueingia cha kike?
Wanasema tena eti sisi ni kama wanyama wakifa ndo wameshakufa kabisa,sasa tujiulize jamani hivi kweli sisi ni sawa na wanyama?
hawa wanyama si wanaingilia mama zao jamani na dada zao,sasa na sisi tunaishi hivyo?
alafu hawa wanyama wanaongozwa na katiba gani? ni kwa sababu wanyama hata kiakili wako tofauti na binadamu kabisa kimaumbile na vinginevyo,sasa hawa watu wenye itikadi hizi hamuoni kama wanajifananisha na wanyama tu?
MWISHO NISEME TU WEWE ENDELEA KUMTII MUNGU WAKO HATA UKIFA UKAKUTA NI FAIDA NA USIPOKUTA HAUTAADHIBIWA ETI KWA KUWA HUKUNYWA ULEVI WALA KUZINI WALA KUIBA N.K.
LAKINI NI HAKIKA YAPO MAISHA BAADA YA KIFO
nashkuru kwa mchango wako mkuu na swala zuri kabisa ulilouliza mwenyezi mungu akuongoze wewe na mimi mkuu..Naona umeamua kufanya ibada jf?
Mnanichekesha sana nyie wenye uwezo mdogo wa kufikiri.
Haya niambie sasa. Mtu akifa na umri wa miaka 100 anaendelea kuishi kwa miak hiyo au itakuaje?
Na mtoto mwenye siku moja akifa, ataishi huko kwa umri huo huo au itakuaje?
Acha upumbavu. Hakuna mdudu wala kiumbe kinaitwa mungu kwenye uhalisia. Ilikua nimipango ya kukutawala lofa wewe
Utaishi milele ukiwa mzee au unarudishwa ujanani?nashkuru kwa mchango wako mkuu na swala zuri kabisa ulilouliza mwenyezi mungu akuongoze wewe na mimi mkuu..
ni hivi kwa mungu hakuna lisilowezekana kabisa
kwanza jiUlize kwa nini mtu anakufa na miaka mia na mwingine anakufa hata mwaka hana?
Mtu akifa na miaka mia huko mbinguni ataenda kuishi tena milele kwa sababu huko hakuna kufa tena na hilo kwa mwenyezimungu linawezekana kabisa
Mungu akutangulie mkuu..Utaishi milele ukiwa mzee au unarudishwa ujanani?
Na vipi wale wenye ukilema? Watakua vilema milele au watapewa viungo?
Ipo hivi, maisha baada ya kifo hayapo.
Wala hakuna Mungu huyo mliyekaririshwa kwenye vichwa vyenu.
Kitu kikubwa cha kukushauri. Waandalie vizazi vyako maisha mazuri maana huko mbele hakutakua na urahisi kabisa. Kitu pekee cha kuwakomboa watu wetu itakua ni sayansi na teknolojia. Kama tutashindwa kuwapa uwezo wa kugundua na kuboresha vitu watoto wetu, tutaishia kuwa watumwa milele. Ninaposema milele namaanisha nitaendelea kuishi kwenye nafasi za wajukuu zangu
hapo sawa. ila hakuna moto pia. kuna pepo/paradiso tu kwa watenda mema.naam mkuu maisha baada ya kifo maana yake tukifa tutafufuliwa na kuhukumiwa na hapo kila mmoja atashika njia yake ama ya oepo au moto...
hapana na moto upo mkuu.hapo sawa. ila hakuna moto pia. kuna pepo tu kwa watenda mema.
hivi mungu kaweza kuifanya manii ikawa na mikono na miguu na kichwa atashindwa vipi kumfufua kilema akiwa mzima?Utaishi milele ukiwa mzee au unarudishwa ujanani?
Na vipi wale wenye ukilema? Watakua vilema milele au watapewa viungo?
Ipo hivi, maisha baada ya kifo hayapo.
Wala hakuna Mungu huyo mliyekaririshwa kwenye vichwa vyenu.
Kitu kikubwa cha kukushauri. Waandalie vizazi vyako maisha mazuri maana huko mbele hakutakua na urahisi kabisa. Kitu pekee cha kuwakomboa watu wetu itakua ni sayansi na teknolojia. Kama tutashindwa kuwapa uwezo wa kugundua na kuboresha vitu watoto wetu, tutaishia kuwa watumwa milele. Ninaposema milele namaanisha nitaendelea kuishi kwenye nafasi za wajukuu zangu
Sijui kama umeelewa swali langu.hivi mungu kaweza kuifanya manii ikawa na mikono na miguu na kichwa atashindwa vipi kumfufua kilema akiwa mzima?
kiakili tu ikiwa mtu ameweza kutengeneza gari vipi ashindwe kurekebisha linapoharibika?
yani aweze kutengeza gari alafu ashindwe kurekebisha tail iliyopasuka?
tehe he sasa kwa mingu ikiwa ameweza kukuumba wewe kwa kutumia manii ya wazazi ukawa mtu kamili atashindwa vipi kukurekebisha kamguu kalikovunjika na bajaji?
rudia swali kama umeona hujajibiwaSijui kama umeelewa swali langu.
Ila endelea kutumika maana mipango ya waliopanga ilikua wafanikiwe na wamefamikiwa.
Nyie ndo ilitakiwa muwe kondoo au mbuzi mfugweaana hamna uwezo wa kufikiri
pepo/paradiso imeandikwa kwenye biblia ila Moto ni hekaya na kutoelewa vizuri maandiko.hapana na moto upo mkuu.
kwa sababu ikiwa mtu anaamini kuna pepo kipi kimemfanya aamini kuna pepo?
sio mjuzi wa bibilia lakini kiimani yangu ya uislamu moto upo hasa umeelezwa vizuri na pepo ipo kabisa.pepo/paradiso imeandikwa kwenye biblia ila Moto ni hekaya na kutoelewa vizuri maandiko.