Mama zetu wanatuharibia sana future zetu siku hizi kwa yale wanayotunuia masikioni mwetu kututaka kuishi kwa kujihadhari badala ya kujifunza.
Me nadhani nu muhimu mzazi kumuacha binti yako atafute na yeye historia yake bila wewe kujiattach na hiyo historia kwa kumzonga na mastory ya kumkatisha tamaa sababu tu wewe ulipitia magumu katika mahusiano yako ya awali.
Wazazi ni watu wa kuwa nao makini sana muda mwingine....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni kweli kabisa. Unakuta mama anawashwa kukuulizia kwa mtoto wake na kutaka kujua mambo yako ya kipato, mahusiano na familia yako na kadhalika.Hawa WAMAMA MASHOSTI ndo uwa wanaforce mme wa binti yake awe shosti ake pia..Unashangaa Mama mkwe simu hazikatiki na mara kwa mara anakuja home kuwasalimia..
True, mama anatakiwa kuwa na ukaribu ila sio uliopitiliza na binti yake..... Unaanzaje zungumzia mambo ya chumbani na binti yako kwa namna ya umbeaHaya maswala sio kabisa ukikutana ushkaj wa hvyo kuwa muangalifu mno namna ya kurun hayo mahusiano
Sent using Jamii Forums mobile app
True bi dada umenena ukweli. Kimsingi akina mama wanaproject insecurities zao kwa mabinti zao wakihisi ni kuwaprotect kumbe wanawaexpose na mambo ambayo si sahihi....Mama zetu wanatuharibia sana future zetu siku hizi kwa yale wanayotunuia masikioni mwetu kututaka kuishi kwa kujihadhari badala ya kujifunza.
Me nadhani nu muhimu mzazi kumuacha binti yako atafute na yeye historia yake bila wewe kujiattach na hiyo historia kwa kumzonga na mastory ya kumkatisha tamaa sababu tu wewe ulipitia magumu katika mahusiano yako ya awali.
Wazazi ni watu wa kuwa nao makini sana muda mwingine....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama maza na yeye analipa mimi namchombeza nawatomba tu woteWrite your reply...DAWA NI KULA KUKU NA YAI LAKE HII NJIA INA APPLY KAMA HUYO BINTI NI DEMU WAKO LAKINI HUJAMUOA NA UMEHAIRISHA KUMUOA KWA TABIA ZAKE MBOVU AKISAPOTIWA NA MAZA WAKE
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii ni kweli kabisa. Unakuta mama anawashwa kukuulizia kwa mtoto wake na kutaka kujua mambo yako ya kipato, mahusiano na familia yako na kadhalika.
Unaweza sema anakujali kama mtoto wake ila baadae utakuja kujua kuwa ana ajenda zake na sio kuwa anakujal....
Mtu anaingilia mahusiano utadhani na yeye anataka atombwe na mpenzi wa mtoto wake....sijui inakuwaga ni nini ile..
Sent using Jamii Forums mobile app
WanaboaTrue bi dada umenena ukweli. Kimsingi akina mama wanaproject insecurities zao kwa mabinti zao wakihisi ni kuwaprotect kumbe wanawaexpose na mambo ambayo si sahihi....
Me huwa nakerekwa sana na hayo matabia...
Sent using Jamii Forums mobile app
At most!Mama zetu wanatuharibia sana future zetu siku hizi kwa yale wanayotunuia masikioni mwetu kututaka kuishi kwa kujihadhari badala ya kujifunza.