Usije ukaiamini katiba au sheria za Tanzania maana siku hizi hazifuatwi

vanmateka74

New Member
Mar 8, 2016
3
3
Wana jamvi,nashindwa kujua nifate utaratibu gani ndani ya nchi yangu kati ya katiba au sheria.

Pia nashindwa kuelewa katika nchi yangu niliyoizoea ni chombo gani kinachoweza kumpatia mtu haki kati ya mahakama na polisi,

Naomba tusaidiane katika hili
 
Nazani ingekuwa bora kama ungemuuliza mkuu wa kaya...!ungepata majibu sahihi!
 
Kiukweli ktk ile mihimili mitatu, SERIKALI NDIO INAMEZA BUNGE,NA MAHAKAMA,

HIVO SERIKALI INASIGINA KATIBA NA SHERIA KWAKUWA UMECHIMBILIWA ZAIDI

NAKUSHAURI ISIKILIZE SERIKALI
 
Namshangaa Deus Kibamba anapigia kelele eti ipangwe bajeti kwa ajili ya katiba mpya!Kwa nini kuharibu pesa kuandaa katiba ambayo haifuatwi?Mtasababisha watu waanze kuumizwa tena kwa kudai utekelezaji wa katiba mpya.Tuendelee hivi tulivyo,kama Mungu atatuonea huruma atajua cha kufanya yeye mwenyewe maana kila kitu kina mwisho wake
 
Wana jamvi,nashindwa kujua nifate utaratibu gani ndani ya nchi yangu kati ya katiba au sheria.

Pia nashindwa kuelewa katika nchi yangu niliyoizoea ni chombo gani kinachoweza kumpatia mtu haki kati ya mahakama na polisi,

Naomba tusaidiane katika hili
Well said
 
Mimi nashangaa kuna watu wanaita wawekezaji kuwekeza kwenye nchi ambayo katiba na sheria hazifuatwi, sijui wanafikiri wawekezaji wameokota hela barabarani. Na unapomuweka ndani bila kosa muwekezaji mkubwa kana Manji aliyeko kwenye top ten ya matajiri mchini, matajiri wenzake wanakuangalia tu na kujiweka pembeni
 
Back
Top Bottom