PAKAYA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 362
- 169
Wazazi wako wanakupenda sana mkuu na wameshaona udhaifu wako kwa wanawake na hali ilivyo wasije wakakusa kwa sababu ya matendo yako ya bandika bandua.heshima ya mme ana mke ni ndoa acha ubazaz kaa njia ilio sahihi.Alitendwa samson sembuse wewe au unaogopa matumizi? ni ushauri tu kama vp wapelekee shoga uone kama watamkubaliJamani nina mawazo, wazazi wangu wametuma ujumbe kupitia mdogo wangu kwamba nisirudi nyumbani bila mke. Sio kwamba sitaki kuoa,uwezo upo na nia ipo,tatizo tangu nimetendwa sina maandalizi wala hamu ya kuanza mahusiano mapya.Ushauri wakondugu